Kama ingelitokea msanii Mkristu akashutia video yake Msikitini

Hivi mbona watz tunazidi kuwa wapumbavu kila kukicha hivi hapo Daimond ana kosa gani?

Kwani walienda wakalivamia kanisa na kuwashikia bunduki viongozi wa hilo kanisa na karekodi kwa razima?

Mpaka anakuja kufanya hicho alicho kifanya ina maana alipata baraka zote kutoka kwa viongozi wa kanisa husika na waliona hakuna tatizo yeye kufanya hivyo.
Sasa hapo Daimond ana kosa gani?
Wakulaumiwa ni wale walio waruhusu kifanya walicho kifanya.

Hizi hoja za sijui kwa nn hawajaenda msikitini ni hoja za kipumbavu kwa sababu msimamo wa viongozi wa kiislam uko wazi kabisa ya kuwa hayo mambo hayaruhusiwi ndani ya msikiti ,wakati upande wa viongozi wa pili ni rukusa na tumeshudia mara nyingi miziki na maigizo yakofanyika ndani ya makanisa tena waigizaji wakiwa wamevaa nusu uchi mbona hamkuwahi kusema huko nyuma?

Hata wanawake siku hizi wamekuwa wanaenda makanisa kwenye ibada na mavazi ya ajabu ajabu tukisema mnajitetea eti mungu ahaangilii mavazi bali ana angalia matendo.
Mpumbavu mwenyewe
 
Kutokana na kejeli za diamond platinumz juu ya kanisa katoriki, imeonekana wazi kuwa kitendo alichokifanya sio cha haki wala heshima!

Hata isitoshe kauli yake kwenye post ya Zuchu aliyoandika kuwa hii nchi ina wenyewe mara acha tuendelee kuwawakilishia taifa lao inaonesha wazi mmomonyoko mzima wa maadili!

Unahisi tungelikuwa tunaongelea habari gani kwa sasa kama angelitokea msanii mkristu akashuti video ya wimbo wake akiwa msikitini?

Na je, viongozi wa msikiti husika wangekubaliana na jambo kama hili lifanyike?

Pale ambapo unaandika kitu na ku assume watu wote are aware of what you write
 
Makanisa yenyewe yamejengwa na binadamu hao hao ambao ni walevi na wazinzi, hizi dini zina vuruga akili zenu
Hebu acha kuongea utumbo wewe labda misikiti yenu ipo hivyo wewe😫😫😫😞😞😞
 
Kutokana na kejeli za diamond platinumz juu ya kanisa katoriki, imeonekana wazi kuwa kitendo alichokifanya sio cha haki wala heshima!

Hata isitoshe kauli yake kwenye post ya Zuchu aliyoandika kuwa hii nchi ina wenyewe mara acha tuendelee kuwawakilishia taifa lao inaonesha wazi mmomonyoko mzima wa maadili!

Unahisi tungelikuwa tunaongelea habari gani kwa sasa kama angelitokea msanii mkristu akashuti video ya wimbo wake akiwa msikitini?

Na je, viongozi wa msikiti husika wangekubaliana na jambo kama hili lifanyike?
Hapo kanisani alivyamia kwa nguvu au uongozi wa kanisa,ulimruhusu?Wakulaumu ni uongozi wa kanisa,na huwenda pia kikanisa,inaruhusiwa.
Kanisa,lina uongozi,ulinzi,linafungwa,halikai wazi,vipi awe ameingia,bila ruhusa ya wenye kanisa.
 
Ujinga tu

Ile clip kanisani ni watu wanaimba tu...

Au kuna lingine.?
 
'Dai Puula' ni mkatoliki aliyekengeuka!! Usitishike na majina yake !
 
Ndio mbona ni kawaida ndio ujue kuwa dini ni usanii, kuna kanisa kiongozi wa kiume anapakatwa na ibada anaongoza kule US, watu wameridhika kabisa maisha yanasonga
Mungu yupo Ila madhehebu ni miradi ya watu
 
Naona ingelikuwa ni bora kama na audio ingelifungwa, maake baada ya video kutoka imeonesha dhahiri hata mashairi yaliyoandaliwa yalikuwa na kejeli!
Baada ya Zuchu kutoka kanisani kumsifu bwana anamweleza diamond kuwa
*Eti Amina, dua zimeitikiwa,
Ashtuti, nije kukupa mali yako*
.
Neno "Eti Amina" linaonesha wazi kukejeri kiitikio hicho cha kikatoriki, badala ya kusema "Amina" kaonesha dharau kusema "Eti Amina"

Inaonesha wazi kuwa Zuchu alikuwa kanisani kumkejeli Mungu kwamba alienda kufanya sala ili abariki ngono wanayokwenda kufanya na Nassib! Kilichomaanishwa pale ni kuwa, Diamond kamruhusu Zuchu kwenda kanisani kumwomba Mungu abariki ngono! Ameonesha wazi sehemu pekee ya maombi yao ni Kanisani tena katoriki!
Kwamba, "Dua zimeitikiwa, Ashtuti! Nije kukupa mali yako"

Navyojua kanisa katoriki ni kanisa imara lenye uongozi imara kuanzia chini kwenda juu, nachojiuliza hiyo dili kafanya Diamond na waimba kwaya? Au na makatekista?
Kama na mapadre ama paroko walikuwepo, nahisi pesa zilizomwagika pale ni mamilioni! Hii inaonesha kuwa pesa yaweza fanya kila kitu hapa duniani!

Inasikitisha sana!
 
Msikiti upi huo ambao ungeruhusu msanii kwenda kuunajisi kwa kufanya shooting ya video zake??
Kama viongozi wa msikiti wangeliruhusu ujinga huo, wangelikatwa vichwa hadharani! Ndipo issue ya kuchoma makanisa ingelianzia hapo! Nahisi 3rd War ingelipata wakati muafaka! Kwa kuwa kwa itikadi zao walizonazo, hili jambo lisingeishia humu nchini, lingefika mpaka Maka!
Kwani waislamu wanalichukuliaje jambo kama hili? Wanaliona ni la haki?
 
Naona ingelikuwa ni bora kama na audio ingelifungwa, maake baada ya video kutoka imeonesha dhahiri hata mashairi yaliyoandaliwa yalikuwa na kejeli!
Baada ya Zuchu kutoka kanisani kumsifu bwana anamweleza diamond kuwa
*Eti Amina, dua zimeitikiwa,
Ashtuti, nije kukupa mali yako*
.
Neno "Eti Amina" linaonesha wazi kukejeri kiitikio hicho cha kikatoriki, badala ya kusema "Amina" kaonesha dharau kusema "Eti Amina"

Inaonesha wazi kuwa Zuchu alikuwa kanisani kumkejeli Mungu kwamba alienda kufanya sara ili abariki ngono wanayokwenda kufanya na Nassib! Kilichomaanishwa pale ni kuwa, Diamond kamruhusu Zuchu kwenda kanisani kumwomba Mungu abariki ngono! Ameonesha wazi sehemu pekee ya maombi yao ni Kanisani tena katoriki!
Kwamba, "Dua zimeitikiwa, Ashtuti! Nije kukupa mali yako"

Navyojua kanisa katoriki ni kanisa imara lenye uongozi imara kuanzia chini kwenda juu, nachojiuliza hiyo dili kafanya Diamond na waimba kwaya? Au na makatekista?
Kama na mapadre ama paroko walikuwepo, nahisi pesa zilizomwagika pale ni mamilioni! Hii inaonesha kuwa pesa yaweza fanya kila kitu hapa duniani!

Inasikitisha sana!
Mtaongea sana lakini Huo mstari wa mwisho ndio Sababu kubwa Diamond aliruhusiwaa kushoot ile scene kanisani yani Pesa inanunua hadi Imani kaka yale yote Hata hao Maparoko walijua sio sawaaa ila sasa Wakatumia kivuli cha kusema ni maigizo kupiga Mamilion ya helaaa...!! Diamond hana kosa kwenye hili wakulaumiwa ni Wale Viongozi wa kanisa hasa Paroko kuruhusuu kambo kama lile kufanyika kanisani
 
Tungesikia taqbir Allah akbar Alafu Mirindimo Siyo y pwani ... Plus Maandamano mpaka hukobarabuni , west africa ..na dunia KWA ujumla
 
Naona ingelikuwa ni bora kama na audio ingelifungwa, maake baada ya video kutoka imeonesha dhahiri hata mashairi yaliyoandaliwa yalikuwa na kejeli!
Baada ya Zuchu kutoka kanisani kumsifu bwana anamweleza diamond kuwa
*Eti Amina, dua zimeitikiwa,
Ashtuti, nije kukupa mali yako*
.
Neno "Eti Amina" linaonesha wazi kukejeri kiitikio hicho cha kikatoriki, badala ya kusema "Amina" kaonesha dharau kusema "Eti Amina"

Inaonesha wazi kuwa Zuchu alikuwa kanisani kumkejeli Mungu kwamba alienda kufanya sala ili abariki ngono wanayokwenda kufanya na Nassib! Kilichomaanishwa pale ni kuwa, Diamond kamruhusu Zuchu kwenda kanisani kumwomba Mungu abariki ngono! Ameonesha wazi sehemu pekee ya maombi yao ni Kanisani tena katoriki!
Kwamba, "Dua zimeitikiwa, Ashtuti! Nije kukupa mali yako"

Navyojua kanisa katoriki ni kanisa imara lenye uongozi imara kuanzia chini kwenda juu, nachojiuliza hiyo dili kafanya Diamond na waimba kwaya? Au na makatekista?
Kama na mapadre ama paroko walikuwepo, nahisi pesa zilizomwagika pale ni mamilioni! Hii inaonesha kuwa pesa yaweza fanya kila kitu hapa duniani!

Inasikitisha sana!
Itakua hujameza dawa zako za ARV siku nyingi,
Zishaanza kukuwehusha akili
 
Mkuu, kuwa na adabu!
Hujui unaongea na nani!
Unadhani kwa matumizi ya fake ID kuwa siwezi kukupata!
Huu mtandao upo kiganjani kwetu, Email yako inatosha kabisa kupata location yako!
Ebo! [emoji34][emoji34]
 
Udini huwa Unawasha sana! Ndio maana hizi nyuzi nyingi siku hizi..
 
Mkuu, kuwa na adabu!
Hujui unaongea na nani!
Unadhani kwa matumizi ya fake ID kuwa siwezi kukupata!
Huu mtandao upo kiganjani kwetu, Email yako inatosha kabisa kupata location yako!
Ebo! [emoji34][emoji34]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hovyooooooooo

Confirmed Chizi fresh
 
Nahonyo hilo ni kanisa la katoliki, maana zuchu anasema masister walimkagua wakamwambia yupo sawa kabla ya kupiga picha.
Kanisa linaruhusu watu wanarukaruka bongofleva ndani ya kanisa.
 
Back
Top Bottom