Abdulhayy
Senior Member
- Oct 11, 2021
- 177
- 139
Sasa mpaka ameruhusiwa kuingia kanisani ambapo wenyewe mnapaita patukufu kwa mujibu wenu na amelipa pesa na akahamasisha zinaa shida iko wapi kwenye hizo picha???Kutokana na kejeli za diamond platinumz juu ya kanisa katoriki, imeonekana wazi kuwa kitendo alichokifanya sio cha haki wala heshima!
Hata isitoshe kauli yake kwenye post ya Zuchu aliyoandika kuwa hii nchi ina wenyewe mara acha tuendelee kuwawakilishia taifa lao inaonesha wazi mmomonyoko mzima wa maadili!
Unahisi tungelikuwa tunaongelea habari gani kwa sasa kama angelitokea msanii mkristu akashuti video ya wimbo wake akiwa msikitini?
Na je, viongozi wa msikiti husika wangekubaliana na jambo kama hili lifanyike?
Shida ni nyie kwa kujali matumbo yenu
Mbona hakwenda msikitini kufanya hiyo video???