[emoji2][emoji2][emoji2]Kanisa la Nani!?..aliruhusiwa au alivizia hawapo!?
Halafu maudhui badala ya kipentekoste yanakuwa yaki katoliki na kilutheriHaitatokea Kwa sababu Waislamu wanaisimamia Dini yao.
Isitoshe misikiti inamilikiwa na Waumini Wote, hivyo hata uwe kiongozi Wa msikiti mfano Imamu, huna mamlaka ya kuamua hivyo.
Kwa wakristo Makanisa yanayomilikiwa na Waumini Wote ni ya Romani Katoriki, KKKT na Wasabato lakini sina uhakika na viongozi wa kanisa katika kuamua.
Ukija kwa haya makanisa ya Pende Coast yaani walokole, makanisa ni mali ya mchungaji, Mchungaji ndiye huamia kila kitu, si lazima kuwashilikisha Waumini.
Hivyo mchungaji mwenye njaa yake, ni rahisi kuchukua pesa na kuruhusu Diamond kurekodi ndani ya kanisa.
Kujamba tena [emoji2][emoji2][emoji2]Hilo neno "akashuti" ni la Kiswahili fasaha cha kimwambao likimaanisha "kujamba". Simpo tu, ukijamba msikitini kwa bahati mbaya unatoka nje unakwenda kutawadha.
Na hio sio sababu kuikejeli dini ya wengineWenye kanisa ndio wamemruhusu.Halafu msikiti,usifananishe na kanisa,kanisani unaingia na viatu,kuna viti,meza,na vinanda na matarumbeta na magita yanapigwa humo,wanawake na wanaume wanachanganyika,nguo fupi na kichwa wazi ,wanawake wanaruhusiwa.Huwezi kukuta msikiti uko katika mazingira hayo.
Automatically huwa wanakuwaga na mihemkoWaislamu wakali sana na dini yao, wepesi sana kwa dini nyingine. [emoji4]
mmmmh!!!!Hapo Ni Kama yalivyo MAGAZIJUTO mixer mgagani lazima kila siku alikua anawapa kesi iko inashinda Vita kwa watu watatu fogo hata Kama hawapapendi Ndio Matatizo ya itatakiwa wabaki huko huko island.