Cc
Nafaka ,bongo movies, zile ni movies ambazo ndani yake zina mafunzo kuhusu jambo husika (mtiririko wa matukio ya kimaisha)
Ila haiwezekani zuchu atoke kanisani aseme, eti huwa wanasema Amina, kejeli tosha i.e "Eti Amina!"
Nusu ubeti wa
"Dua zimeitikiwa,
Ashtuti nije kukupa mali yako"
kwamba kaenda kanisani kuomba mamlaka ya kufanya ngono! anarudi akisema sala zake zimeitikiwa!
Em chukulia mfano qaswida ya Mwanadamu tambua Mungu kashasema iambatane na wimbo wa diamond unachezaje! Mngelijiskia vipi? Halafu uone Zuchu anaswali halafu simu inaita anamshtua mama dangote, wanatoka msikitini speed! diamond awe amewasubiri sehemu ya kunawia! Pata picha hilo taqbir ambalo lingepigwa hapo!