Kama huna hela Usikubali kuvuka miaka 35 bila kuoa au kuwa na mtoto

Kwa wanawake wanaofika 35 year's bado hawajaolewa karibia wote kuanzia Age ya 27 hadi 32 wanakuwa tiyali wameshazalishwa hivyo kama utakuwa Age ya 35 unaanzisha uhusiano nae unaanzisha uhusiano na single mother
Kudos kabisa! Wanawake wengi akifika 27-30 bila muelekeo wengi huamua kubeba mimba tu na kuzaa!
 
Mtoa mada umekosea. Hivi kwa life ya sasa hao vijana below 35 ni wangapi wametoboa kimaisha? Kumbuka wanawake pia wanaangalia mwanaume anayeweza majukumu ya kifamilia, sasa ni ngumu kukuta vijana wengi wa 25 -35 wameshatoboa maisha
Kutoboa ndio kipengele kwa sasa! Mademu wote wanapambania waliwe na wachache walio win! Ndio maana ma single mother hawatakaa waishe sababu hamna mtu ambaye anaweza kuoa kila demu anayejipendekeza kwake. Wapo watakaojibebesha mimba basi ndio kama hivyo yani! Vurugu vurugu tu
 
Umri wako unaelekea ukingoni kwani ukishafikisha 35 years demu wako obvious atakuwa 30 years of age

Na kwa mwanamke at that age huwa anapambana mfunge ndoa au mzae mtoto akikuona bado haueleweki orvious mwanamke wako Ataona bora azae au aolewe na mtu mwingine hivyo utakavyotimiza miaka 36 kuja juu itakuwa ni vigumu kupata mwanamke wa ndoto yako labda uwe na single mother au uvizie vitoto vilivyomaliza form four
Kwahio unataka kumaanisha wanawake wengi wa 30 years or above ni scrap na dump za vijana ambao hawakuwa tayari kuoa?

Maana kimsingi wengi kuanzia 31 hapo lazma atakuwa na mtoto mdogo anahangaika nae!
 
Nina bro wangu wakati anaoa alikuwa na 49 sasa hivi ana watoto wawili.

Nadhani ni swala la mipango na mbinu zako. Hadi wazazi wake wajue chochote ni matokeo ya namna wewe una handle habari zako.

Umri sio changamoto katika maisha ya mwanaume bali ni kipato. Mwanamke ndio ana changamoto ya umri huo umri umetaja kwa mwanaume ni saa moja ya asubuhi kwa mwanamke ni saa kumi na mbili kasoro jioni.

Ama unabisha omba nikuelezee vema.
Kweli bana na nilishawahi kumwambiaga demu wangu mmoja baada ya kuniletea usumbufu na kauli za shombo when i was dead broke!

Nikamwambia kauli mithili ya hio kuwa “Unanidharau sababu sina hela sasa ila jua inakuja anytime wala sina presha na hilo na utaikumbuka hii heshima na mapenzi nayokuonesha ila wewe mashauzi yako ukomo wako ni miaka 30 tu.” Ruka ruka sana ila hapo lazma tutaheshimiana!

Sahizi ni mwendo wa vilio tu na mizinga ya hapa na pale! Jibu ni moja tu anapewa pole sana ndio maisha uliyochagua lakini! Hatuwezi kuwa pamoja tena, was all said and done!
 
iyo kaka unayomfanyia huyo sister ni ile alert unastake inakunotify Thank your bet has been placed successfully. 😂😂😂

hivi videmu vinaringaga sana hasa vikiwa kitaa hapa, yaan ukikosa kazi au huna namna ya kumake pesa yaan pindi Tsh.50,000 inakupiga chenga umepauka huna hata kula ya kueleweka ukivisalimia vina kuona mzoga yaan hata ukivisms havijibu wala hawapokei simu tena wanakata.

siku sasa uchomoe miten ten kwa wallet utaona vi navyokung'atia vidole yaan ukipiga simu moja vinapokea kuna mmoja kaniomba 50000 juzi nimemkunjia kiroho mbaya yaani sitaki mazoea.
 
Haina kurembesha! Ni spana tu hadi tuheshimiane, madem wana dharau sana ukiwa teeh
 
yaani hawa ukiwaendekeza mifuko inajaa upepo unakuwa apeche alolo, yaani navikomoa kimoja kinaniambia Mage amesema eti unadharau hutaki kusalimia ukishaingia nyumbani na huko hutoki.

nikakajibu ni muda umekuwa hautoshi nawasalimia nikipata muda nitakuja tupige stori, wasijue nawaona hawajielewi.
 
Hahahahah unawatia mkojo wote wawili
 
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na Nani uzee wako umalizie na Nani ushachakaa tayali

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au owaaaa
Mkishavuta mibangi mnakuwa na mawazo ya kijinga jinga sana
 
Nina bro wangu wakati anaoa alikuwa na 49 sasa hivi ana watoto wawili.

Nadhani ni swala la mipango na mbinu zako. Hadi wazazi wake wajue chochote ni matokeo ya namna wewe una handle habari zako.

Umri sio changamoto katika maisha ya mwanaume bali ni kipato. Mwanamke ndio ana changamoto ya umri huo umri umetaja kwa mwanaume ni saa moja ya asubuhi kwa mwanamke ni saa kumi na mbili kasoro jioni.

Ama unabisha omba nikuelezee vema.
Sema kimeumanaaaa
 
Kutoboa ndio kipengele kwa sasa! Mademu wote wanapambania waliwe na wachache walio win! Ndio maana ma single mother hawatakaa waishe sababu hamna mtu ambaye anaweza kuoa kila demu anayejipendekeza kwake. Wapo watakaojibebesha mimba basi ndio kama hivyo yani! Vurugu vurugu tu
True madem wengi hawapendi waanze na mwanaume life ya kawaida sana
 
Back
Top Bottom