Kama huna hela Usikubali kuvuka miaka 35 bila kuoa au kuwa na mtoto

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,690
2,000
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama.

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na nani uzee wako umalizie na nani ushachakaa tayali.

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au oa.
 

Agresive

JF-Expert Member
Feb 18, 2018
589
1,000
Wanaona wazee wa miaka 50 tena binti miaka 20 hadi 25, sasa unazungumzia miaka 36 bado baby kabisa.

Fatilia kipindi cha Chereko Tbc kama bado kipo asilimia 90 wanao oa ni 40 above na si kuwa wale wote wameshazaa.

NB. kupanga ni kuchagua kila mtu afuate maisha yake.
 

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,690
2,000
Wanaona wazee wa miaka 50 tena binti miaka 20 hadi 25, sasa unazungumzia miaka 36 bado baby kabisa.

Fatilia kipindi cha Chereko Tbc kama bado kipo asilimia 90 wanao oa ni 40 above na si kuwa wale wote wameshazaa.


NB. kupanga ni kuchagua kila mtu afuate maisha yake.

Watu wengi unaona wanaoa at the age of 40 years and above broo wengi wao wanachofanya ni kubaliki tuu ndoa ila walishazaa kitambo Sana lakini ww at the age 40 ndo unataka kuoa je utamuoa nani,???

Ni binti wa miaka mingapi atakukubalia umuoe umemzidi miaka zaidi ya 20 au 15
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,359
2,000
Lazima ujue kuwa wewe ndio nahodha wa mtumbwi wa maisha yako......kelele na mivumo ya maji ya bahari usiruhusu yayumbishe mtumbwi wako......bidii na umakini wako wa kupiga makasia ndio vitakavyokufikisha salama sehemu unayotaka kwenda......baharini utakutana na mitumbwi mingi lakini kila mmoja ana uelekeo wake......fuata uelekeo wako......

NB;
Usiruhusu mitazamo ya wengine juu ya maisha yao vikaongoza maisha yako.........
 

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
852
1,000
da we jamaa yaan 35 mwanaume mzee? ... halafu mwanamke atakuwa nani.. sasa nikwambie. 30+ ni matured age mwanaume anaanza kuangalia vitu kwa dimension tofaut sana kuanzia mwanamke wa kuoa mpaka lifestyle.. yaan anakuwa family orianted...

na ndo hapo wanawake wengi wanapenda mwanaume kuanzia umri huo.. inaelekea we unapenda sana binti teenegers wa kuanzia 16 hadi 22....maana hao pekee ndo wanaweza kumuona mwanaume wa 35+ mzee.

ila mwanamke wa kuanzia 25+ hapend kudate na mwanaume age mate.. wanajua kuwa mara nyingi wanakuwa sio family oriented sababu tayar na wao 25 + yuko kwenye race againts time...

acha kukimbizana na vitoto kaka... obviosluy watakuona mzee sababu wako foolish age..
mind zao zinakuwa zinaathirika sana na mob psychology....

by the way hata hao vibint vinavyochipukia ukiwachukua 10 bas 8 kati yao wanadate na watu waliowazid umri kuanzia 5 , 7 hadi 10+ na wala sio age mate wao...

mwanamke kiasili mkiwa age mate anakuona mdogo sana kwake .. ukimzid 10+ years anakuona age mate
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom