Kama huna hela Usikubali kuvuka miaka 35 bila kuoa au kuwa na mtoto

Kama anaona miaka 35 ni mingi sana....inawezekana mtoa mada ni kijana mdogo sana.....
Naomba unisikilize vizuli kiongozi kama una amini miaka 35 bado ni mdogo mwanamke unayetaka uje umuoe hapo badae unatarajia kuzaa nae au kumuoa atakuwa na miaka mingapi na mmepishana miaka mingapi narudia tena atakuwa na miaka mingapi

Ikumbukwe ya kwamba wanawake wengi kuanzia miaka 27 hadi 30 huzaa na vijana wenye umri kuanzia 30 hadi 35 na wewe una 35 year's na lakini bado unajiona mdogo ukifika 36,37,38 kujaa juu hapo labda uje kuishi na singo mother ambaye alishazalishwa kijana mwingine ndo mje kuanza maisha nae pamoja
 
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na Nani uzee wako umalizie na Nani ushachakaa tayali

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au owaaaa
Mimi Niko na 33 sina pesa na sijaoa Ila Nina kiajira cha serikali nina kaelimu MSc . Unanishaurije
 
Hii mada naona haina mashiko.

Kwa msaada labda ungesema/kushauri vijana tutafute watoto tukiwa na umri huo au chini yake ili tuweze kuwamudu vema katika malezi.
 
Mimi Niko na 33 sina pesa na sijaoa Ila Nina kiajira cha serikali nina kaelimu MSc . Unanishaurije
Umri wako unaelekea ukingoni kwani ukishafikisha 35 years demu wako obvious atakuwa 30 years of age

Na kwa mwanamke at that age huwa anapambana mfunge ndoa au mzae mtoto akikuona bado haueleweki orvious mwanamke wako Ataona bora azae au aolewe na mtu mwingine hivyo utakavyotimiza miaka 36 kuja juu itakuwa ni vigumu kupata mwanamke wa ndoto yako labda uwe na single mother au uvizie vitoto vilivyomaliza form four
 
Hii mada naona haina mashiko.

Kwa msaada labda ungesema/kushauri vijana tutafute watoto tukiwa na umri huo au chini yake ili tuweze kuwamudu vema katika malezi.
Yes ndo nilichikuwa nataka kukizungumzia ukishidwa kuoa Basi mtoto
 
da we jamaa yaan 35 mwanaume mzee? ... halafu mwanamke atakuwa nani.. sasa nikwambie. 30+ ni matured age mwanaume anaanza kuangalia vitu kwa dimension tofaut sana kuanzia mwanamke wa kuoa mpaka lifestyle.. yaan anakuwa family orianted...

na ndo hapo wanawake wengi wanapenda mwanaume kuanzia umri huo.. inaelekea we unapenda sana binti teenegers wa kuanzia 16 hadi 22....maana hao pekee ndo wanaweza kumuona mwanaume wa 35+ mzee.

ila mwanamke wa kuanzia 25+ hapend kudate na mwanaume age mate.. wanajua kuwa mara nyingi wanakuwa sio family oriented sababu tayar na wao 25 + yuko kwenye race againts time...

acha kukimbizana na vitoto kaka... obviosluy watakuona mzee sababu wako foolish age..
mind zao zinakuwa zinaathirika sana na mob psychology....

by the way hata hao vibint vinavyochipukia ukiwachukua 10 bas 8 kati yao wanadate na watu waliowazid umri kuanzia 5 , 7 hadi 10+ na wala sio age mate wao...

mwanamke kiasili mkiwa age mate anakuona mdogo sana kwake .. ukimzid 10+ years anakuona age mate
Ulichokiongea kiko sahihi lakini let me tell you unapokuwa katika mahusiano usijiangalie ww jitahidi umwangalie na mwezio huo umri wako na umri wa mpenzi wako
 
Umri wako unaelekea ukingoni kwani ukishafikisha 35 years demu wako obvious atakuwa 30 years of age

Na kwa mwanamke at that age huwa anapambana mfunge ndoa au mzae mtoto akikuona bado haueleweki orvious mwanamke wako Ataona bora azae au aolewe na mtu mwingine hivyo utakavyotimiza miaka 36 kuja juu itakuwa ni vigumu kupata mwanamke wa ndoto yako labda uwe na single mother au uvizie vitoto vilivyomaliza form four
😂😂😂😂unachekesha akina dada kibao wapo umri huo hawajaolewa,hao tuwaitaje sasa?
na wanaume wengi umri huo ndio wanaooa,akili imetulia.
 
Kama una hela zako kimaisha upo vizuli wanawake wanakuona bado ni kijana lakini kama una 36 huna hela and above Basi unaingia ktk kundi la wazee alafu pia ukumbuke ni mwanamke wa umri Gani atakubali kuwa na ww aache kijana mwenzake
Aisee
 
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na Nani uzee wako umalizie na Nani ushachakaa tayali

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au owaaaa
Kama ulikua ujui umri sahihi wa mwanaume kuoa na kuinjoi mapenzi ni miaka 35 kwenda juu kama unaona mimi nadanganya fuatilia kibiblia au historia umri wa vijana ambao walikuwa wanapewa wenza ili upate kuprove.kitaalamu mwanaume huanza kufikili kama baba wa familia akiwa na umri huo wa miaka 35 ndio maana vijana chini ya umri huo ndio wanaongoza kukimbia na kutelekeza watoto kwa sababu akili yake bado haifikilii kuwa baba na kuchukua majukumu .Hii tofauti kabisa na wanawake ambao huanza kufikilia kama mama akiwa na miaka kuanzia 18 mpaka kwenda juu
 
Mtoa mada umekosea. Hivi kwa life ya sasa hao vijana below 35 ni wangapi wametoboa kimaisha? Kumbuka wanawake pia wanaangalia mwanaume anayeweza majukumu ya kifamilia, sasa ni ngumu kukuta vijana wengi wa 25 -35 wameshatoboa maisha
 
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na Nani uzee wako umalizie na Nani ushachakaa tayali

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au owaaaa
Wee! Miaka 35 mzee kivipi?
Peleka hela ukweni uone kama hawajakuozesha binti yuko shule.

Washauri vijana wenzako kutafuta hela.
 
Lazima ujue kuwa wewe ndio nahodha wa mtumbwi wa maisha yako......kelele na mivumo ya maji ya bahari usiruhusu yayumbishe mtumbwi wako......bidii na umakini wako wa kupiga makasia ndio vitakavyokufikisha salama sehemu unayotaka kwenda......baharini utakutana na mitumbwi mingi lakini kila mmoja ana uelekeo wake......fuata uelekeo wako......

NB;
Usiruhusu mitazamo ya wengine juu ya maisha yao vikaongoza maisha yako.........
Umezungumzia jambo muhimu sana katika maisha ya kila mmoja wetu.
Pongezi Mkuu.
 
Endelea kufananisha wanaume na wanawake Ng'ombe hazeeki maini
images%20-%202021-05-22T122315.153.jpg
 
Back
Top Bottom