Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Endelea kumkojoza kwa speed ya 4G, akikubadlikia hutajua wapi umekosea na utabaki kuokota makopo

Kuna mwanamke hayupo na mmewe hua anakili mume alkua mpiga kazi hasa, tena chuma cha kikoloni lakin napozungumz apa mapadre na wazee wengine wa jadi na hata wale wa kanisa hakuna aliefua dafu ktk kuinusuru ndoa ile

Binafsi nshasema, mwanamke akizingua anasepa nnaanza upya.
Key ni feelings mkuu sio kukojoza, pesa n some other shiyt. Feelings grow and die like grass hio ndio deadly trick. Siku zikinyauka kwako jua zimechipua kwa mwenzio akihold kwako for longer ilihali hisia zimekata ni kinafiki tu. Usijione mwamba!!!

Wengi wanapigana hii vita kwa kutumia silaha ya pesa inasaidia kumfanya mwanamke aendelee kubaki kimwili tu ila kiakili na kihisia hayupo kwako. There is this other guy who is eating that cookie in stealth.
 
Ulitaka asemeje?
Watoto wa siku hizi muwe mnajiongeza.
Kwa hiyo ulitaka aseme kuwa mumewe alikuwa sio mpiga show mzuri?

Hivi ni lini mtatumia akili zenu vizuri?

Alafu hakuna kitu kigumu kama mwanaume asiyeweza kukojoza kuanzisha mahusiano mapya.
Ni kumuomba tuu Mungu yasikukute
Hoja ya msingi ya mtoa mada,
Key ni feelings mkuu sio kukojoza, pesa n some other shiyt. Feelings grow and die like grass hio ndio deadly trick. Siku zikinyauka kwako jua zimechipua kwa mwenzio akihold kwako for longer ilihali hisia zimekata ni kinafiki tu. Usijione mwamba!!!

Wengi wanapigana hii vita kwa kutumia silaha ya pesa inasaidia kumfanya mwanamke aendelee kubaki kimwili tu ila kiakili na kihisia hayupo kwako. There is this other guy who is eating that cookie in stealth.
What should be a best solution on this, kiukweli kuna mda ukifikia malengo unawaza "niendelee kujitesa ili iweje"

Hapo nafsi husema pumzika baba ,
 
Hilo swala la nguvu za kiume linakuzwa TU dios uhalisia!!

Hi I Kuna kipimo sahihi Cha nguvu hizo!!?

Hivi unajua Dem asipokua na hisia na wewe hata ukeshe hatokojoa!!?

Na mwenye hisia na wewe atakojoa in less than two minutes!!?

Hili swala la nguvu za kiume linakuzwa kuliko uhalisia!!

Hivi utakua na msisimko na Dem ambaye huna hisia nae!!?kama huna hisia nae hasta ufanye vipi hutokojoa h huko kutokojoa ni upungufu pia!!

Kukaa muda mrefu bila kukojoa sio kipimo Cha kuwa nguvu za kiume bali kutokua na hisia pia kukontrol kutokukojoa!!

Nguvu za kiume ni swala la kisaikolojia na kihisia kuliko hasta physical kama wengine wawazavyo!!!

Unaweza ukahisi huna nguvu kumbe huna hisia na mhusika yaani ukamkinai baada ya BAO Moja hatuwezi sema eti huna nguvu!!

Kuna pis nyingine unaiona kali unafika site unacheki na kuhamaki baadhi ya mambo mzuka unakata utasemaje huna nguvu!!?

Labda ku harufu!?au umekuta ana tatuu Hadi zinatisha!!?au mwili wake baridiiii Sasa unaona hiki Nini!!?au unagusa unaona ngozi kamaaaa!!?unashtukia!!

Ishu ya nguvu za kiume ni mchezo was saikolojia na hisia kuliko inavyofikiriwa na wengi!!!

That's very right mkuu. Demu X unapiga bao za kutosha na hukinai, daily unatamani umtafune. Demu Y unapiga bao moja na unamwambia vaa tusepe. 😎

-Kaveli-
 
Hakuna Mwanamke matured linapokuja suala la sex Mkuu.
Kitendo cha kufikiria hivyo tuu ujue umeshakwama.

Mwanamke, mumewe anaweza kukosa pesa na asimdharau mumewe ikiwa anamkojoza. Lakini Mwanamke kama humkojozi hata kama wewe ni tajiri namba moja hawezi kukuheshimu.
Kwanza lazima mwanaume uwe submissive úkiwa huna uwezo wa kumkojoza mkeo.
Lakini kama unamkojoza automatically unamtawala
✋
 
Key ni feelings mkuu sio kukojoza, pesa n some other shiyt. Feelings grow and die like grass hio ndio deadly trick. Siku zikinyauka kwako jua zimechipua kwa mwenzio akihold kwako for longer ilihali hisia zimekata ni kinafiki tu. Usijione mwamba!!!

Wengi wanapigana hii vita kwa kutumia silaha ya pesa inasaidia kumfanya mwanamke aendelee kubaki kimwili tu ila kiakili na kihisia hayupo kwako. There is this other guy who is eating that cookie in stealth.

Na possibly hata huyu mleta mada akawa anachapiwa mkewe vizuri tu in stealth mode. 😀

Shetani pale Eden, the first move ilikuwa ni kumrubuni mwanamke kwanza na ndiyo ikawa entry point to the man. Hapo ndipo ligi ilianzia... na men tukawa alerted kabisa kwamba "tuishi nao Kwa akili" na siyo Kwa kuwakojoza per se.

Sasa mwanaume aishi na mwanamke Kwa silaha ya eti 'kumkojoza' tu na arelax kwamba ashamweka chini ya Ulinzi, afu aje aone matukio atayogongeshwa! Mwisho wa picha ni kwenda kulilia chooni huku umeelekeza kichwa kibla na ku-pull the trigger. 😎

Using your brain kwangu mimi ni kutambua kwamba mwanamke anakuwa na mimi kipindi ana kiu na nikimpa maji ataendelea kuwepo kwangu.

Kiu yake inaweza kuisha kwangu na huenda akawa anakatwa kiu na mtu mwengine. Ishu ni kuweka mazingira sawa ili upate fursa ya kumkata kiu yake kwa muda mrefu zaidi huku ukitambua kwamba wewe sio alfa na omega eti kisa unamkata kiu.
 
Pinned and laminated!

Salut mkuu. 😎

-Kaveli-
 
nimecheka kwa nguvu, hakika kuna mambo mengi sana ya kufikiria na sio swala la kukojozwa,,,mimi ni Ke lakini naungana na wewe mkuu
Kwakwel ukiwa honest,ngono na hiz habar za kukojozana ni overated tu. Kuna mambo kiuhalisia huwa yanatufanya hatuwaz ngono kabisaaa. Sema ngono inakujankama starehe tu ya kutuliwaza😂
 
Kwakwel ukiwa honest,ngono na hiz habar za kukojozana ni overated tu. Kuna mambo kiuhalisia huwa yanatufanya hatuwaz ngono kabisaaa. Sema ngono inakujankama starehe tu ya kutuliwaza😂
umenena vyema mkuu, sex ni part of our life na kwa kweli ni kitu kizuri pia kwani inakufanya u relax mwili na akili endapo utaifurahia.
Ila sasa, inakuwa kipaumbele sana hasa kwa wale ambao hawako busy, ukiwa busy na ukafurahia ubusy wako ndivyo utatambua kuwa wanaofikiria sana wanahisi ndio kitu pekee kinachohitajika katika maisha ingali kuna mambo mengine tu ya muhimu katika maisha yenyewe ikiwa kama kibwagizo.

I love your akili mkuu.
 
Back
Top Bottom