Wapo wanawake wakokojoa tu hawataki kuendelea, mwanaume mpaka anaondoka hajakojoa.Kwenye sex Hakuna Mwanamke asiyemtosheleza mwanaume.
Labda asimpe kabisa.
Halafu mbona wadada hawachangii mada ili tujifunze? Wadada mna matatizo gani?
Wapo wanawake wakokojoa tu hawataki kuendelea, mwanaume mpaka anaondoka hajakojoa.Kwenye sex Hakuna Mwanamke asiyemtosheleza mwanaume.
Labda asimpe kabisa.
Unajua kisayansi wewe mwanaume ndani yako kuna uanamke?
So kama Mwanamke ni undefined basi sisi wanaume ndio zaidi yao.
Hii observation yako backup yake iko wapi?Mwanamke akikupenda hawezi ku-fake wapi mnakwama?
Oooh! My gawwd 😂😂😂😂Ukiona umeleta uzi wa mapenzi ukakosa comments za hawa watu cocastic ,Lamomy , BICHWA KOMWE - ,@Nifah,mshamba_hachekwi ,Mzee wa kupambania, @Depal,Demi jua mada yako haina mashiko😁 just kidding.
Sijuwi. Nipe elimu hiyo.
Na kibiblia je?
-Kaveli-
Hii observation yako backup yake iko wapi?
Wadada mada zenu mnakaa kimya hamuongei, hamuoni nyie nao ni sehemu ya utatuzi wa changamoto?
Wapo wanawake wakokojoa tu hawataki kuendelea, mwanaume mpaka anaondoka hajakojoa.
Halafu mbona wadada hawachangii mada ili tujifunze? Wadada mna matatizo gani?
Labda sio kwa matured woman!Pesa ni muhimu kwa maisha yako na familia lakini linapokuja swala la furaha ya mahusiano na starehe ya mwili pesa haifui dafu kwa kukojoza
Labda sio kwa matured woman!
Walio mature Hawa demand kukojozwa pekee mkuu!!
Pesa wanataka na security na kujitawala baadae sana!!
Wakati wewe unatafuta ili kuwakusanya uwapendao wao wanatafuta Ili wajitawale!
Hicho sio kigezo na kama ni kigezo ni Cha asilimia chache sana!!
Subiri mahusiano yako yaingie misri siku moja utakua na mtazamo tofauti sana kuhusu hicho uwazacho!!
Unawaza ngono tu tena katika kipindi hiki kigumu kama Taifa la kuuliwa kinyama kijana wetu Moleli na HAMAS. Pumbavu kabisa qewe, ngoja tumuulize Binti Kimoso kama unamfikisha Kileleni.
Sasa huoni wanajidhulumuKiasili wanawake sio waongeaji wa hisia zao
Hakuna Mwanamke matured linapokuja suala la sex Mkuu.
Kitendo cha kufikiria hivyo tuu ujue umeshakwama.
Mwanamke, mumewe anaweza kukosa pesa na asimdharau mumewe ikiwa anamkojoza. Lakini Mwanamke kama humkojozi hata kama wewe ni tajiri namba moja hawezi kukuheshimu.
Kwanza lazima mwanaume uwe submissive úkiwa huna uwezo wa kumkojoza mkeo.
Lakini kama unamkojoza automatically unamtawal
Hayo ni mawazo yako TU mkuu!
Sio universal law of nature!!wanakua submissive lakini sio kwa kila jambo!!
Mengine ni vitasa na ubabe mkuu hivyo ndio limeifikisha Dunia ilipo Hadi sasa!!
Ubabe na vipigo,ulimwengu haujawahi kuwa mahalo salama Kwa kuridhisha hisia moyo za kina mama au wanawake!!
No anguko kubwa sana la kimantiki kwamba umtumikie ipasavyo ndio awe submissive hiyo ni big no!!
Hawa ninkwenda nao mpela mpela Ivo ivo sio Kwa kujali sana hisia zao hapo tutakwama hata sisi tuliokua sio matokeo hayo Toka Kwa Baba zetu!!
Nadhani!!
Wajibu huo hautoshi kutawala kama unavodhani mkuu!Sizungumzii uhalifu na Wahalifu.
Nazungumzia wajibu Mwanaume kwa mwanamke.
Hilo swala la nguvu za kiume linakuzwa TU dios uhalisia!!Dah! ila wanaume ambao hatuna nguvu za kiume na hatukojozi tunasemwa sana. Na tunachukiwa mno, serikali ituangalie na sie ni watu jamani.
NiunganishiePata Mwanamke anayekupenda kwanza kisha uje hapa utoe ushuhuda