Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
- Thread starter
- #381
Tusamehane japo kuchangamsha mada na uwanjaKutokusoma hizo shule haimaanishi ww ni kilaza, kwa sababu wapo waliokuwa na sifa ila nafasi iliisha, kwa mtu mwenye upendo wa kweli na mwenzake atakuwa ananielewa ninachosema, kwa sababu wote tumeumbwa na Mungu mmoja, huwezi kumwita mwenzako kilaza, hata sababu za msingi za baadhi ya watu kutokufanya vizuri pia huwezi kujua zote, sio vizuri kumwita mwenzako kilaza, labda ujisifu kwa nafsi yako peke yako , lkn sio mbele za watu.