Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… enzi hizo tuko usagara pale usiku tunatoka manane ya usiku tuko road trip kwa miguu kuvizia vigodoro ila zaidi nilipendaga baikoko sio hivi vigodoro vya mitaani vya kishenzi yaani utamu wa tanga ipigwe ile baikoko yenyewe ya kimombasa au kizigua kidigo ujionee uumbaji watoto wa mule wana balaa zito........

Hapo ndiyo nilipo amini tanga mahaba yamezaliwa, ukipata demu wa kitanga mcheza koko ukiweka ndani ukamnyima koko ndoa kwishney ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Vile vile kitandani uwe njema, ukikaa wiki hujapeleka uno na ndoa kwishney anaruhusiwa binti kurudi kwao kulalamika humpi unyumba.

Wadaslam wanapiga miguu yote kwao wanaona ndo mahaba ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kuhusu majini usiku na misukule haikudhuru kama haikuhusu ila usiku hatujawai kutana nayo labda wapasua nazi tanga hiyo ni warranty lazma uwakute. Nazi kupasuliwa tanga ilikuwa ni warranty na mayai viza, ila kwa sasa sijui kama wameacha.....๐Ÿ˜…
Baikoko kale kafilimbi chao hata ukiwa wapi unakasikia. Tulitorokaga Galanos kwenda hadi kule Mwakizalo usiku kufuata Baikoko. Hahaaaa wakati tunarudi, polisi wakatukimbiza. Mungu atusaidie kwa kweli. Hali ilikuwa mbaya sana.
 
Niliwahi kukutana na kesi huko kwenye harakati zangu za utafutaji wa maisha enzi za Yule Fara marehemu wa chato na raisi wa wanyonge ๐Ÿ˜€.....mwana mama alikuja ananiambia mtaalamu nikienda haja kubwa sitoi chochote isipokuwa damu yenye harufu mbaya... Kuja kuchukua historia yake mwanamama kafirwa miaka karibu 16 na anasema mchezo kauanza toka alipokuwa mdogo Sana....
 
Hahaaaaaaa ni kweli tulikuwa tunawaonea wivu ndio maana siku ya Jumamosi tukikimbia mchakamchaka tunaambiana toka Galanos tupite pale Hostel yenu City Centre tuwatukane tu.

Tukitoka hapo tunapita mitaa ya Coastal Sekondari, tunawatukana. Tutanyoosha jadi Popatlal Sekondari tutatukana. Tutazunguka pale Ecknford napo tutaimba na kutukana then tunarudi zetu Galanos. Maisha yale yalikuwa mazuri sana.
Umenikumbusha Kuna kipindi mlikuwa Kila jmos mkipita mnatukana tukaja kuwa winda jmos moja mkala fimbo San enzi hizo mbabe wa Usagara ndumula mpanje popote ulipo bro respect Tanga mmenifunza vingi sana
 
Week end hii ngoja niende nikatembee Tanga walau siku mbili nikamate mtoto wa kiManga
 
Uzushi wapi?

Tanga tatizo kubwa ni uchawi,hasa ukiwa mgeni usijifanye " kumind your own business" . Ukiwa Tanga unapswa kusalimia Kila unapopita kijiwe cha "wazee",ukijifanya kupuuzia utauliziwa "huyu kijana anaishi wapi"? Baada ya hapo kitakachokupata!!

SIku nimefika Tanga mwanangu akanitahadhalisha,kaka hapa Tanga kuwa mnyenyekevu utaishi vizuri na watu,ukifika kwenye vijiwe vya kahawa salimia Asalam aleykum kisha nenda zako. Utakaa hata miaka kumi bila shida.
Uongo. Nimekaaa Tanga miezi 45.
 
Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.

Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuruโ€ฆ Haya jionee maajab ya jiji la Tanga

1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani.

2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini Jiongeze.

3. Ugali Wa 1500 Unapata Mboga 7 Usisahau Uono (Dagaa Mchele) Buree.

4. Tanga Ndio Jiji Pekee Kuna Baiskeli Za Kukodi Yaani Kama Bodaboda Vile Zina Kiti Chenye Sponge Hadi Raha.

5. Club Za Tanga Zinapiga Taarabu Unashangaa Shauri Yako.

6. Self Tanga Ni 50K Chumba Kikubwa Na Choo Ndani Tena Vimenakshiwa Vizuri Kabisa.

7. Wakazi Wa Tanga Hawapandi Boxer,TVS Wanapikipiki Zao Special Zinaitwa "Huoniao" AKA Kibao Mbuzi.

8. Breakfast Ya 1000 Tanga Unashiba Vizuri Kabisa Kifupi Ukila Mchana Kisa Njaa Ujue Una Minyoo Au Ulafi.

9. Ndio Jiji Lisilo Na Kelele Wala Vurugu Pako Kimyaaa Hadi Raha.
Kijana Wa Tanga Akishakuwa Na Uhakika Wa Kula Na Sehemu Ya Kukaa Anawaza Kuongeza Mke Sio Biashara Wala Kuwekeza Hayo Mtajua Wenyewe.

10. Ukitaka Binti Wa Kitanga Aje Geto Mwambie Apande Pikipiki Utamlipa Boda Halafu Akifika Mnunulie Chips Yai Na Soda Broo Umemaliza Kazi.

11. Tanga Ndio Jiji Lenye Soda Au Tuseme Juice Ya Kipekee Inayoitwa "Healtho" Au "Anjari" Ni Tamu Sana Zipo Aina Kama 5 Hivi Huko Bakhresa,Mo,Coca,Pepsi Hata Hawasikiki Sana.

12. Ukiwa Tanga Jaribu Kuishi Na Watu Vizuri Kuoa Na Kuolewa Usipate Shida Wao Ndio Watakutafutia.

13. Raskazone,Donge,Tanga Beach Ndio Ushuani Huko Wanaishi Vigogo AKA Mafogo.

14. Tanga Mjini Kuna Super Market 1 Tu Inaitwa Mkwabi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ (Labda Kama Zimeongezeka)

15. Wasambaa Ndio Kabila Linaloheshimika Zaidi Tanga Mjini Na Ndio Kabila Superior.

16. Kuhusu maji ya kunywa hapo usiseme kule huna haja ya kununua maji dukani maana maji ya bomba tu yanatosha kukata kiu yako kifupi hayana shida kabisa hadi raha.

17. Ukiwa na binti wa kitanga uwe na pumzi ipasavyo usipoangalia utatolewa jasho mwanaume alaa.

18. Tanga Kuna Traffic Light sehemu 2 Tu Pale Toyota Kuelekea Bombo na Maeneo ya Mkwakwani.

19. Tanga hakuna Bolt, Uber Wala Farasi ni Mwendo Wakuita Kibao Mbuzi au Upande Daladala.

2o. Daladala Ipo Radhi Imsubiri Mtu Tena Ikibidi Ipige Reverse Imfwate Alipo.

Sema katika yote Tanga ni jiji lililopangika vizuri kuanzia uswahilini, mjini kati mpaka huko kwa matajiri!!

#VisitTanga
Umesahau moja
Tanga wahangaikaji wengi ni wanawake tena wakisambaa kuliko wanaume.
 
Back
Top Bottom