kama hii igekuwa chadema ccm wangesema udini

Status
Not open for further replies.
1.hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa ally hassan mwinyi.
2.vita kawawa na dada wake wabunge wa ccm =watoto wa rashid kawawa.
3. David matayo mbunge na naibu waziri wa ccm=mtoto wa cleopa msuya.
4.binti wa sokoine mbunge ccm arusha=mtoto wa edward sokoine.
5.mtoto wa bilali mbunge wa east africa ccm=mtoto makamu wa rais bilal.
6.makongoro nyerere=mtoto wa nabii wetu wa tanzania nyerere.
7.nape nauye katibu mwenezi ccm=babake ni nnauye alikua kada wa c
naomba mwenye majina zaidi atujuzecm.
8.mtot wa getrude mongela ni mkuu wa wilaya moja tz.
nape anapowasema chadema kwamba ni chama cha ukoo hapo juu vipi ?

Aliyekuwa katibu Mkuu kiongozi Philemon Luhanjo mtoto wake ni muajiriwa wa BOT na pia mtoto wa kike wa Kawawa na yeye ni muajiriwa wa BOT.
 
1.hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa ally hassan mwinyi.
2.vita kawawa na dada wake wabunge wa ccm =watoto wa rashid kawawa.
3. David matayo mbunge na naibu waziri wa ccm=mtoto wa cleopa msuya.
4.binti wa sokoine mbunge ccm arusha=mtoto wa edward sokoine.
5.mtoto wa bilali mbunge wa east africa ccm=mtoto makamu wa rais bilal.
6.makongoro nyerere=mtoto wa nabii wetu wa tanzania nyerere.
7.nape nauye katibu mwenezi ccm=babake ni nnauye alikua kada wa c
naomba mwenye majina zaidi atujuzecm.
8.mtot wa getrude mongela ni mkuu wa wilaya moja tz.
nape anapowasema chadema kwamba ni chama cha ukoo hapo juu vipi ?
9. Waziri wa Afya na naibu wake Waislam
10. KOVA muislam
11. January Makamba Mwislam
12. ACP Ahmed Msangi, Abeid wote Waislam
 
Hebu mwenye data aachilie na majina ya BOT, naamini itakuwa tamu zaidi!
 
1.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.nape nauye katibu mwenyezi wa ccm muislam.
7.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam .
TATIZO NI WAO WAO WENYEWE SIO DINI ZAO UKIWAONGEZA HUMO .
PINDA.
MUKAMA.
ANA MAKINDA
MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA.
MKUU WA MAJESHI
PIUS MSEKWA.
HAWA WOTE TUNAWALAUMU KWA UTENDAJI WAO NI WAZANDIKI WAFILISI WA TAIFA LETU WALA RUSHWA,WAUZAJI WA TAIFA LETU WATUMIAJI UBABE LAKINI NI UFISADI WAO NDIO TUNAOULAANI SIO DINI ZAO.NA SASA CCM KWA KUSHIRIKIANA NA CUF NA WANAUAMSHO WANA AJENDA YA KUTUMIA UKRISTO NA UCHAGA KUWAHADAA WATANZANI POLENI CCM,CUF NA WANAUAMSHO.NATOA HOJA

Hapo kwenye Maroon huyo Sofia Simba kasilimu lini? ni mgala mwenzio!

Hebu tuangalie na hii;

Mwenyekiti Mbowe - Mgala
Katibu Mkuu Padri Slaa - Mgala
Mkurugenzi Uenezi Myika - Mgala
Mkurugenzi Sheria - Tundu Lissu Mgala
Mwenyekiti Vijana Heche - Mgala
Halima Mdee - Mgala
Ndesamburo - Mgala
Mwenyekiti wa wanawake - Mgala
Lucy Owenya - Mgala
Nassari - Mgala
Rose Kamili - Mgala
Edwin Mtei - Mgala
Wenje - Mgala
Kasulumbayi - Mgala
Kitila Mkumbo - Mgala
John Shibuda - Mgala
Josephine - 1st lady wa Kinondoni - Mgala

Usitake kuumiza kichwa mzee Christian Democratic Movement(Chademu)

Back
Top Bottom