Kama gazeti la Uhuru limeandika, tunasubiri nini?

Hatuna enough electricity supply ya kufanya refinery ya huo mchanga hata hivo wanaouziwa ni nchi zinazojiweza katika swala zima la nishati ... This is just another event and it will come to pass lets wait for another
 
Tupe mifano hai ya advancement yoyote kijamii, kiuchumi au hata kisiasa iliyofikiwa na nchi kama Ghana, Zambia nk ktk Afrika baada ya mageuzi ya serikali zao.Hii ni Africa experience inaonyesha wazi hata ukibadili serikali kupitia vyama ni sawa tu na kimimina mvinyo wa zamani ktk chupa mpya ni mchakato wa kubadili rangi za mafisadi tu.
kwanni mnapenda kuwa negative nyie watu why not quote nchi zilizofanikiwa kwa kubadili vyama??? mbona huongelei hta jirani zetu hawa wa kenya hatua walioipiga toka waitoe KANU madarakani????

Ndio maana ya demokrasia nyie mnakuja na sera zikishindikana anapewa opportunity mwingine ikishindikana hivo hivo mpaka tufike kwenye mageuzi ya kweli instead of kusema eti kwakuwa hta tukiweka upinzani hamna mabadiliko basi tukibakize chama tawala hta kma kinatuibia kwanza ni sign ya kukata tamaa na kushindwa kifikra!! wenyewe walishasema muwape kipindi kimoja wakishindwa muirudishe ccm milele
 
Ulimsikiliza ZZK au umeongea tu?! Kwenye suala hili ZZK ndo ameongea jambo la msingi sana!!! Alichosema ZZK ni:

Mosi; kabla ya kuzuia export ya huo mchanga; kwanza serikali na wazalishaji wa copper concentrates wangehakikisha copper smelters zinajengwa hapa hapa! And of course; huwezi kuzuia kabla hapajakuwa na njia mbadala!

Pili, Ripoti ya Serikali kupitia TMAA (ya mwaka 2011) ilisema kwamba ili kuwa economically viable; tunahitaji smelters zinazoweza kuchenjua at least tani 150K za mchanga ambazo gharama yake ni USD 500 - 800 Million. Zitto akasema haiwezekani dunia mzima pasiwe na teknolojia yenye uwezo wa kuchenjua kiasi kidogo kama kinachozalishwa nchini! Kwahiyo badala ya kusema haiwezekani; serikali ikae na wataalamu kutafuta teknolojia ya bei rahisi ambayo yeye kama yeye anaamini lazima itakuwepo!!

Sasa ni nani mwenye anayejitambua anaweza kukejeli hoja kama hizo?! Technically; usipokubaliana na ZZK ni kwamba unakubaliana na TMAA kwamba sisi wenyewe hatuwezi kuchenjua huo mchanga!!!! Hata hivyo, TMAA wametumia neno moja fupi lakini lenye maana kubwa sana... economically viable! Waliosoma uchumi wanafahamu uzito wa hiyo phrase...!!!

Hofu yangu mimi sio mitambo yenyewe bali nishati ya ku-run hiyo mitambo!!! Na hapo ndipo inapokazia hoja nyingine, kwamba hata kama kuna mitambo ya kuweza ku-process tani 60K; je will it be economically viable hasa kwa kuzingatia bei ya umeme pamoja na hii unreliability of power?!


ZZK, ni mchumia tumbo
 
Yaaaan ww uliondika kolomije Kelli akili yako ndogo kama punje ya HARADANI watu wenye akili wanajadili point za msing ww unaleta upunga zeze wako kakojoe ukalalae na watoto wenzako
 
Bado Inaiamini Ccm ? Huko Kwasasa Ni Kama Shamba La Bibi Kupora Tu
Tangu Uhuru Hadi Leo Kuna Mengi Sana
 
Kumbe hoja yako haikuwa suala la mchanga; kwahiyo kwaheri manake mjadala wa hapa ni copper concentrates ingawaje pia inaonekana kwamba ulikurupuka!!!

Siyo hivyo utaelewa kadili muda unavyoenda, kwa sababu siasa za Bongoland hazihitaji haraka wala hasira!
 
tatizo tutampa nani wakati upinzani tayari imevamiwa na mafisadi mapapa yakiongozwa na mawiziri wakuu wastaafu walioshiriki uhunu huu enzi za utawala wao?
mambo y
Kwamba Indonesia wameamua kujenga mitambo wenyewe ni sawa lakini usisahau walitoa grace period... hawakumka tu na kusema from now; hakuna ku-export mchanga!!!

Hii ban ya Indonesia iliyokuja 2017 ni kwa sababu 2017 ilikuwa ndo deadline baada ya katazo kuwekwa mwaka 2014 na kuwapa hadi 2017 wawe wamejenga smelters!!

Kuhusu suala kuchenjua... ukiangalia Ripoti ya TMAA ambayo watu hawaitaki wamesema wazi hilo suala!! Maneno yaliyotumika kwenye ile report ni "...export of copper concentrates!"

Kitu kinachokuwa exported ni kwamba kinauzwa!! Na hata ukiisoma vizuri ile ripoti; imesema wazi kwamba zile concentrates zikifika kule huwa zinachanganywa na concentrates kutoka kwa suppliers wengine na kuwa smelted!

Lakini pamoja na mkanganyiko wa lugha ("export" huku Kiswahili tukitumia "usafirishaji") lakini bado mwisho wa ripoti yao wameeleza wazi kwamba kuna namna mbili tu za Mikataba ya Copper Concentrates; wa kwanza kwa copper concentrates producers kufanya smelting ya copper concentrates kwenye machimbo na aina ya pili ni kuuza copper concentrates kwa independent smelters!

Tanzania hatufanyi smelting of copper concentrates mgodini na kwahiyo hao ACACIA huwa wana-export; na kwa maana hiyo huwa wanauza (second case above).
ni kweli walitangulia kwa kuweka sheria ambayo iliwataka wafanye hiyo kazi. Sisi Tunayosera tayari inayowataka kufanya hivyo, Mh Rais amekwisha waeleza mara kadhaa kabla ya ban japo ni informally waangalie uwezekano lkn inaonekana hakuna aliyejali Ila baada ya ban Wanasema wanaomba miaka mitano ya utafiti kuona kama wanaweza kufanya huo mchakato bongo. Ningewaelewa zaidi hata kama mkuu kakosea, kwa wao kuinitiate process hiyo au mazungumzo hayo baada ya kuombwa hivyo na rais kupitia ule mkutano na watu wa TPSF sio baada ya ban. Grace period waliyopewa huko ilikuwa na mashariti pia kwamba hadi wafikishe kiwango cha kuchakatwa hapo ndani ndio kinachozidi wasafirishe ni sawa na huku tu.

Kuhusu kuuza Mchanga au Kuupeleka kwa ajili ya kuchenjuliwa, Ninachojua au wanchokieleza watu hao ni kwamba Smelter analipwa charges ya kufanya hayo, na faida ya pili madini yoyote yaliyomo nje ya Cu,Silver na Gold ni mali yake. Wao wanachukua hadi 97% ya kile ambacho kinapatikana kama Output yaani hivyo vitatu. Ndio maana hilo la kuuza mchanga nalisikia kwako na kwa gazeti otherwise iwe ni lugha ya kuwakilisha hayo maelezo niliyotoa.
 
Yeye mwenyewe ana "zimwi" lake la "kifaa cha jeshi" hadi kesho linamwandama; ataanzia wapi kuwakemea waliotangulia?
 
kwanni mnapenda kuwa negative nyie watu why not quote nchi zilizofanikiwa kwa kubadili vyama??? mbona huongelei hta jirani zetu hawa wa kenya hatua walioipiga toka waitoe KANU madarakani????

Ndio maana ya demokrasia nyie mnakuja na sera zikishindikana anapewa opportunity mwingine ikishindikana hivo hivo mpaka tufike kwenye mageuzi ya kweli instead of kusema eti kwakuwa hta tukiweka upinzani hamna mabadiliko basi tukibakize chama tawala hta kma kinatuibia kwanza ni sign ya kukata tamaa na kushindwa kifikra!! wenyewe walishasema muwape kipindi kimoja wakishindwa muirudishe ccm milele
Ok, If It is a matter of try & error.Hakina anayekubaliana na CCM, lakini hao mbadala nao mashaka hata kabla ya kuwapa mandate.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Bro na swala la Lugumi limepita hivi hivi kwa kweli sioni jipya ndani ya CCM.Ni kila anaekuja anakuja kula na kuondoka.Akija mwengine analinda mwenzake aliyeondoka.Ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa kurudi madarakani.Kumbuka kauli ya Rais Magufuli kwa Kikwete kapumzike nitakulinda,je atamlinda kwa nini,anashida gani hadi ampe ahadi ya kumlinda mtu ambaye ni safi?
Na haya mambo ya kulindana sio kwa CCM tu bali mostly African leaders wana shida sana. Mtu atamlinda tu mwenzie maana anajua na yy atafanya fyongo na atalindwa akitoka madaeakani, sijui haya mambo yataja kwisha lini.
 
Acheni kuandika vitu msivyovijua , hao viongozi walioingia mkataba dizaini ya chief Mangungu wanajua kabisa huo Mchanga unapelekwa wapi. Aulizwe Mzee Benja atakuwa na majibu . Au mkataba upelekwe bungeni usomwe Watanzania tujue .
 
Wakuu hivi nikianzisha gazeti nkaliita UTUMWA kuna shida? Nitakuwa nimevunja sheria za nchi? Naomba ushauri kabla sijaanza huu mchakato
 
kwanni mkuu uwe na mashaka wakati bungeni umeona nani aliyekuwa anatetea maslahi ya watanzania just be honest??? kipi hasa wapinzani wafanye uone wako tayari kuongoza nchi???
CHARITY begins at home, pamoja na kutetea maslahi ya Taifa bungeni tumeshuhudia vyama vya upinzani vikisambaratishwa na ruzuku, ukosefu wa democracy ndani yao wenyewe, lack of concrete policies etc na ndio maana nikasema mashaka bado yapo kwa huyo mbadala wa CCM.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
CHARITY begins at home, pamoja na kutetea maslahi ya Taifa bungeni tumeshuhudia vyama vya upinzani vikisambaratishwa na ruzuku, ukosefu wa democracy ndani yao wenyewe, lack of concrete policies etc na ndio maana nikasema mashaka bado yapo kwa huyo mbadala wa CCM.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
mkuu tuache internally maana hta ccm ina madudu kibao hasa ya makundi na uminyaji demokrasia maana kma huna hela huwezi shinda uongozi ccm hilo liko wazi kabisa!!!

Twende external yaani pale ambapo ccm na chadema wapo field nani anayeteta maslahi ya watanzania??? na kma tunatetea maslahi kuliko hao ccm kwanni huna imani na ssi?? kwani hizo changamoto za ruzuku sijui demokrasia sijui sera if at all unaona hazipo je hayawezi kuwa solved ??? mpaka uone we are beyond repair??
 
Back
Top Bottom