Phillipo Bukililo: Wewe ndo walewale ambao mtoto wao wa kwanza wa kike akipata ujauzito shuleni wanakata tamaa eti na huyu mdogo mtu simpeleki shule atapata tu ujauzito. Mhukumu mtu baada ya kumpa nafasi akashindwa na siyo kulala tu kwa historia na hisia.