Kama gazeti la Uhuru limeandika, tunasubiri nini?

Kama gazeti la Uhuru limeandika, tunasubiri nini?

Basi baada ya magufuli mtakuja kumpigia makofi na hata mabusu
Yeah tukishaevaluate mahali alipofanikiwa na alipokosea tutamsifia kwa yote aliofanikisha !! mbona kuna mengi tu kajitahidi na wapinzani tumemsifia issue kma ya majengo ya UD pale tumempongeza kwa kubana matumizi n.k unajua hta nyerere alikuwa ana element za udikteta kabisa ila pia alikuwa na mazuri yake si ajabu hta kma magufuli sikumpigia na sitowahi kumpigia kura ila naweza jifunza mazuri yake mawili matatu siku anaondoka na nitamkumbuka kwa hayo........ mkuu kumbuka vyeo na vyama vinapita ila utu na utanzania utabakia milele,

jioni njema
 
mbona unatoka kwenye hoja??? rudi kwenye hoja nione IQ zenu wanalumumba nmesema kachungulie ilani ya chadema unipe sera tuliyoreplicate kutoka utawala wa miaka 50 uliofeli wa ccm!!!!

khusu JK nlishasema kuna mahali lazma umsifie mtu hta km ndio worst president toka tupate uhuru ila kwenye eneo la sheria ya vyaka vya siasa pia uhuru wa maoni JK alijitahidi sana hapo tuuui!!!! pia hta diplomasia na miundombinu pia alijitahidi hilo halipingiki hta kma sikuwahi mpigia kura wala kumpenda ssa tukisifia hayo maeneo ndio tunakuwa tumesema KIKWETE IS THE BEST????
Unaleta mbwembwe za IQ, nyinyi wenye IQ kubwa ndio ambao mlimponda Lowassa kwa miaka nane halafu mkataka ndani ya miezi mitatu kuelekea uchaguzi wa 2015 awe tayari ameshasafishika!!. Shame on you guys.

HAPA KAZI TU, nyinyi endeleeni kutafuta mada za kuongelea Facebook na Twitter.
 
Wee mzima kweli !? Yaani nchi umpe Tundu Lissu !? Nenda katibiwe kwanza .

Lissu na Zitto ni baadhi tu ya niliowataja kuwa wana weledi mkubwa kuliko wengi ndani ya chama tawala. Hata wiki haijaisha si umeona Rais wetu JPM kafanya yake? Haya sasa Kitila huyo!
Narudi kutibiwa Mkuu!
 
"TUWAPE WATU WA UPINZANI KAMA TUNDU LISSU NA ZITTO'' yaani kweli yanatoka moyoni kwako? BINAFSI SIAFIKI

haya habari ndiyo hiyo,
Magufuli kaanza, utaafiki tu mkuu, kuna mtu alikuwa mbishi kama JPM kushirikisha wapinzani kwenye serikali yake? Sasa si huyo kamteua Kitila? Tutaelewana tu!
 
Unaleta mbwembwe za IQ, nyinyi wenye IQ kubwa ndio ambao mlimponda Lowassa kwa miaka nane halafu mkataka ndani ya miezi mitatu kuelekea uchaguzi wa 2015 awe tayari ameshasafishika!!. Shame on you guys.

HAPA KAZI TU, nyinyi endeleeni kutafuta mada za kuongelea Facebook na Twitter.
Na ndio maana watz wanawadharau kabisa leo hii asimame chadema na ccm nani ana credibility??? nyie kila mada mtaingiza ukanda sijui mbowe muuza madwa mtasema sijui lowasa wakati issue ya lowasa nakuelezaga hapakila siku ssa tutarudia hoja mwaka mzima ??? wwe jibu hoja ya mezani hapa tunajadili sera mbadala ya vyama vya upinzani hayo ya lowassa kafungue thread ntakueleza tena na tena mpaka utatuelewa tu!!! ila kwa ssa jaribu kujitunzia heshima hta kma najua vijana wa ccm IQ zenu zipo ndogo kwenye arguments ila waokoe basi na ufanye task nliokupa!!! ahsante
 
Ndugu zangu,
Katika mambo yanayotugharimu watanzania ni msemo wa "yaliyopita si ndwele tugange yajao"
Kumekuwa na makosa mengi ya kuligharimu taifa yakifanywa na viongozi ambao tumekuwa tukiwapa dhamana ya kuongoza nchi yetu, lakini sijawahi kuona wakiwajibishwa.

Wanaingia, wanatawala wanaharibu wanaondoka anayekuja vilevile. Katika mambo ambayo nilimtegemea sana JPM katika ukweli wake ni kuwa mkweli kama ambavyo amejinadi toka wakati wa kampeni kuhusu kiini cha tatizo kuwa ni mikataba mibovu watangulizi wake kwa yote waliyoingia. Badala yake na yeye analalamika tu, fikiria kama ingekuwa wapinzani ndio walitawala miaka mitano ilopita, kama namuona Rais wangu ambavyo angewafanya.

Suala la mchanga wa dhahabu kwa mfano, hivi Rais wa awamu ya nne na tano wanachomokaje hapa? Gazeti la uhuru la leo limesema ukweli kama linavyojinadi "ukweli daima", kwamba makontena ya mchanga yameshauzwa nje kuanzia 2001 hadi 2016. Hii inamaana wakati wa utawala wa Rais Mkapa na Kikwete, maana yake kwa kipindi chote hiki tumeongozwa na ama na watu kwa maslahi yao binafsi au kwa kiburi cha "Tutawala milele" hivyo tuijitajirishe tu. Kama hadi kufikia gazeti la uhuru kuandika haya mangapi yanayopigiwa kelele za ukweli mfano escrow hayaandikwi?

Watanzania tunasubiri nini? Tubadilishe watu wa kutuongoza na kusimamia kodi zetu.
Nilikuwa na imani na JPM lakini simwelewi kabisa, analalamika kuhusu mchanga kwanini asiseme kweli kama lilivyoandika uhuru kwamba serikali za chama chake ndizo zilizotufikisha hapa yeye akiwa waziri? Cha ajabu hata alikuwa haoni wakti huo angetusaidia kutoa hoja binafsi labda.

Kama nguvu nyingi inatumika kuwashughulikia akina Mbowe anayedaiwa kutolipa kodi, Manji anayedaiwa kuajiri wageni bila vibali, wanaokosoa serikali na kuhoji mambo mbalimbali ya viongozi, wanaokwenda tofauti na chama tawala kwa nini tusitumie nguvu hiyo pia kuwawajibisha viongozi wetu hawa waliotutia hasara kwa miaka karibia 17 sasa ili hata yeye na wajao wajue wakiharibu watawajibishwa?

Jamani, tusiogope kubadilisha serikali na kuwapa wapinzani nchi tuwe kama Ghana, Zambia etc, sioni tofauti ya uwezo wa wanaotwala sasa na wapinzani, naweza sema wako watu makini zaidi upande wa upinzani, mfano Zitto, Tundu Lissu just to mention few. Kufanya hivi kutaleta discipline kwa kila tunaowapa dhamana, wataongoza kwa matakwa ya tuliowachagua wakijua hawana uhakika wa kutawala tena na pengine kushtakiwa kama wakiharibu na sio kwa fikra zao kama ilivyo sasa.

Wapenzi wa vyama msichafue hali ya hewa please.
View attachment 490550
Mmh issue ya mchanga ni kubwa kashindwa na issue ya Bashite ku clear kiongozi wake ambae ana tuhuma za vyeti ijekuwa container za mchanga wa dhahabu ambazo ana share yake!?halafu unajiita msema kweli mpenzi wa mungu na mungu kakutuma kweli mmh.ndio maana Wosia J kambarage alikuwa hafanyi hizo dili ikisema rasilima za Tanzania ni kwa watanzania hajawahi kuuza mbuga za wanyama wala mchanga wa zahabu.Gesi na khadhalika.hawa viongozi walio ingia baada ya nyerere wote wezi na wanalindana.
 
Hadith hii ya mchanga kwa mara ya kwanza niliisikia kwa baba yangu mwaka 2003, alikuwa akisikitika sana juu ya jambo hili
 
Katika hiyo miaka 8 waliomponda huyo Lowassa alikuwa ndani ya CHAMA kipi?
 
Back
Top Bottom