Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

Tuambie kama Kikwete alifunga ndoa na mamama wa hawa watoto wote hawa.Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo

1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu

Inamaana Mwalusembe ndio mchondo? au mchondo ni jina la utani?
 
Daa Slaa bado yuko kwenye uchumba umri huu...
 
Muasisi wa hilo jina la babu ni bwn mdogo nape nnauye, halitumii tena hilo cause alisahau kua marehemu baba yake mzee Moses Nnauye (RIP) alikua mtu maarufu na kiongozi wa nchi hi, record za mwaka wake wa kuzaliwa na kufa zipo, alipotajiwa/kumbushwa tu akagunduq kumbe mzee Nnauye alikua mkubwa kuliko Dr. Wilbrod P. Slaa and hence akajikuta akosa heshima mbele za watu cause kama mzee Nnauye angekua hai basi nape ingebidi hata baba yake amwite babu vile vile.
 
Kwao hiyo kwakuwa Sitta hatumuiti Babu basi Dr Slaa ni kijana?
 
Hivi Padri Slaa ni mtaalamu wa jambo gani? Maana Jk ni mchumi,Lipumba ni mchumi..hivi Slaa ni mtaalam wa jambo gani?
 
Tuambie kama Kikwete alifunga ndoa na mamama wa hawa watoto wote hawa.Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo

1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu

yule mbunge wa mbeya aiyeiba mataulo guest nae ana mtoto na huyu jamaa mtoto anaitwa mrisho...pia kule wilaya ya kilolo pale halmashauri yupo mama amezaa nae kabinti kanaitwa salha......
 
Hivi Padri Slaa ni mtaalamu wa jambo gani? Maana Jk ni mchumi,Lipumba ni mchumi..hivi Slaa ni mtaalam wa jambo gani?
Waulize RC waliompa Upadre,waulize CCRBT walimpa cheo kwa weledi gani,waulize Karatu walimpaje Ubunge,waulize pia watanzania walimpaje Urais 2010 akiwa hana weledi.
 
Maana Jk ni mchumi
heeh kumbe JK ni mchumi,mpe hongera kwa kukuza dhamani ya TSH,toka 1200/USD ile 2005 mpaka 1900/USD this tym.mpe hongera kwa mchumi kuita TSH pesa ya madafu.mpe heko kutumia principles za uchumi kuongeza nafasi za ajira kwa kuleta wachina kufanya umachinga.mpe hongera sana Mchumi kwa kujiombeleza Ulaya,sasa hiyo ya kujiombeleza ni principle mpya ameianzisha kwenye uchumi.mana Economics haiongei kabisa kuhusu Begging
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?


Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

Wenzako wamekalia unazi bro hawaoni mantiki hata siku moja . Bongo zao nzito .
 
Hivi Padri Slaa ni mtaalamu wa jambo gani? Maana Jk ni mchumi,Lipumba ni mchumi..hivi Slaa ni mtaalam wa jambo gani?

Du! alipoulizwa kwa nini Tanzania ni masikini - akajibu hata mimi sijui.

Midahalo anamkimbia Dr ambaye sio mchumi.

Tehtehe! huyu mchumi wa akina Rutashobolwa!!!
 
Mkuu sijapaniki,rejea post niliyomkoti huyo dogo.rejea pia historia yake humu.nimempa haki yake.alikuwa anajiita MSALANI kabla ya Mods kumbadilishia ID kinguvu

Teh teh teh ...

Mapovu yote haya ni Slaa asiitwe "BABU" ...?
 
- Ukitaka umri wangu fungua thread yake hii ni thread mliyoileta wenyewe naomba kujua Dr. Silaa ana miaka mingapi please?

Le Mutuz

Ili kujua umri wa dr slaa chukua umri wako toa kwa moja ndio umri halisi wa dr slaa
 
Back
Top Bottom