Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

Dr.Slaa alishaandika huku na haimsumbui.Kuitwa babu ni ishara ya Busara na baraka.Wao wanadhani wanamuita hivyo kwa dhihaka kumbe wanatambua busara na baraka alizo nazo

Kwa mfano yule kijana aliyesema wanaounga mkono serikali tatu wanasubiri kufa kesho akimlenga Warioba unadhani kwa kufuru na laana hii itawaacha salama wafikie umri huo?

Busara za kutumikisha vijana kazi chafu ambazo yeye wala mtoto wake hawezi kuzifanya? Unadhani mwanae anaweza kubeba sumu kweli?l
 
Dr.Slaa alishaandika huku na haimsumbui.Kuitwa babu ni ishara ya Busara na baraka.Wao wanadhani wanamuita hivyo kwa dhihaka kumbe wanatambua busara na baraka alizo nazo

Kwa mfano yule kijana aliyesema wanaounga mkono serikali tatu wanasubiri kufa kesho akimlenga Warioba unadhani kwa kufuru na laana hii itawaacha salama wafikie umri huo?
Mkaanga sumu at work
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Unatumia bichwa kufugia tu nywele
 
Mtu kuitwa babu siyo kosa hata mtoto aliyezaliwa siku hiyohiyo huweza kuitwa babu.

Ila Kama wanamuita Dr slaa babu kwa maana ya uzee hao wengine wanao mzidi Slaa umri wanatakiwa waitwe vikongwe.
 
Kwani Dr Slaa sio babu? Kwa hiyo babu ni tusi? basi kuanzia leo namuita Padri Dr Slaa!
Mkuu angalie usikose ubunge.
 
Teh Teh kwa hiyo wanataka aitwe...Kijana?
QUOTE=wa hapahapa;11888663]U'BABU mwisho chalinze, mjini kila mtu baby. . .

sio tusi.[/QUOTE]
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

Lazima BABU akupe ubunge wa viti maalum mwaka huu, umempigania sana!
 
Slaa ni mzinzi sana..hafai kuigwa na jamii

Bunge huwa likianza machangu kutoka mikoa mbalimbali huamia Dodoma .Huenda kuwa wateja wanani? Mbona hao huwakemei. Pill we una unayeonekana kukaa naye ebu weka cheti cha ndoa tusome jina kama ndio Huyo maana huyo tuna.mjua sio kumfahamu tu.
 
Back
Top Bottom