MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,223
- 6,719
Nape ni mtoto kutoka kwa mwanamke aliyekuwa mchepuko wa mzee Nauye wakati alipokuwa singida miaka hiyo. Sasa nape kutokutajwa kwenye hilo gazeti kama mwanafamilia sababu wanaijua wenyewe.. Lakini ukatae ama ukubali huo ndiyo ukweli.. Mambo hadharaniMkuu Mandate ya kusema Nape ni mtoto wa Moses Nnauye umetoa wapi ikiwa hata familia ya Marehemu haikumtaja kwenye gazeti wakati wa kutoa shukrani? Mkuu chunga ulimi wako Yule Mnyaki mwenye mwanaye anakuangalia kwa jicho la hasira sana