Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

Unamaanisha lile lililotoa picha hii?
View attachment 226058
Aliyenielewa ameelewa ila hii timu ya Lumumba uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.Wako myopic mno.
In any action there is an equal and opossite reaction.
lumumba msije sababisha watu wakaingia katika mateso,tafadhali mtafakari kabla ya ku attack viongozi wa opposition.
Tupo katika kipindi cha kulekea uchaguzi na situation ni fragile.
 
Mama yako ndio ana haki sana ya kuto kutusiwa ila Slaa kuitwa mzinzi ni haki yake?!

Mtu ambae anaishi bila ndoa ktk vitabu vya dini anaitwaje?
Tumia lugha rahisi ambayo itamfanya aelewe siyo vizuri kwako na kwangu mama zetu hawahusiki na upuuzi tunaoufanya.
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

WOTE mababu, na wote hatuwataki.

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?


Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

wote mababu na wote hatuwataki.
 
.....hoja dhaifu,tanzania tutampigia kura upinzani
 
10987381_769109066490781_6195301746647697415_n.jpg
77d3Stephen-Wassira.jpg
Mizengo-Pinda1.jpg


Hawa ndio wazeee...

Kuwa na adabu si wewe na mzee! Usalama wetu hebu mfuatilien aliyepost hyo pumba
 
Hapana , bali babu ni mzazi wa wazazi wako , sasa Nape anapomwita Dr Slaa Babu anamaanisha Dr Slaa ni mzazi wa Moses Nnauye ?

Mkuu Mandate ya kusema Nape ni mtoto wa Moses Nnauye umetoa wapi ikiwa hata familia ya Marehemu haikumtaja kwenye gazeti wakati wa kutoa shukrani? Mkuu chunga ulimi wako Yule Mnyaki mwenye mwanaye anakuangalia kwa jicho la hasira sana
 
Mtu ambae anaishi bila ndoa ktk vitabu vya dini anaitwaje?
Tuambie kama Kikwete alifunga ndoa na mamama wa hawa watoto wote hawa.Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo

1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu
 
Tuambie kama Kikwete alifunga ndoa na mamama wa hawa watoto wote hawa.Kwa uchache hawa ndio watoto wa JK, umri wao na mama zao walipo

1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu


Lakini si anamke wa ndoa? Haya andiko linasemaje?
 
Back
Top Bottom