Kama Dr.Slaa ni 'babu', hawa wetu tuwaitaje?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
 
Watakuja na mapovu kibao ikiwemo kukulaumu kwanini unatoa siri za chama! Mara watakuita mpinzani na kupiga ramli ya kuotea majina ya members wengine wa jf.
Cc MUSSA ALLAN, Lizaboni, mjepo
 
Last edited by a moderator:
Age is merely numbers, what matters is performance ( for instance Presida Dr. Mugabe now over 90 yrs of age) now the AU boss.
 
Kwa nini unahofu akiitwa babu.kuna watu wana miaka arobaini wanaitwa mababu cha ajabu nini
 
Ngoja watoke lunch utasikia kitavyonuka hapa jamvini, unamtetea Slaa......kwao ni heri kumtetea yule singa singa wa Escrow lkn sio Slaa.......Hilo jina likitajwa Lumumba ni kama wanatolewa mapepo.
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

Hivi 'BABU' ni matusi?
 
Mzee Tupa Tupa wa Ufipa, kuna mtu alikuzuia kuwaita hao uliowaorodhesha "BABU?"

BABU ni jina la heshima kwanini Mzee wenu halipendi?
 
Dr.Slaa alishaandika huku na haimsumbui.Kuitwa babu ni ishara ya Busara na baraka.Wao wanadhani wanamuita hivyo kwa dhihaka kumbe wanatambua busara na baraka alizo nazo

Kwa mfano yule kijana aliyesema wanaounga mkono serikali tatu wanasubiri kufa kesho akimlenga Warioba unadhani kwa kufuru na laana hii itawaacha salama wafikie umri huo?
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

babu wakubeba vibinti vidogovidogo nadhani ndio maana kuu
 
umesahau fimbo aliyopigiwa mzee tingatinga?
aliitwa babu na miaka 55 ikajengewa picha ya ujana.
 
Hao wa sisiemu ni vijana. Refer JK aliingia ktk kampeni akiwa na 55 lakini aliitwa kijana.
 
10987381_769109066490781_6195301746647697415_n.jpg
77d3Stephen-Wassira.jpg
Mizengo-Pinda1.jpg

Hawa ndio wazeee...
 
Ni propaganda mfu. Imemezwa na kutamkwa bila ya utafiti. Dr.Wilbrod Slaa wa CHADEMA amezaliwa tarehe 29/10/1948. Eti anaitwa babu. Huku ni kuishiwa kwa hoja. CCM hatukufika hapo. Tazama baadhi ya waandamizi wa kwetu wa CCM ambao wengine wanatajwa kuwa wagombea Urais na uone Dr.Slaa alivyo kijana:

-Wasira (amezaliwa 1945. Ni miaka mitatu kabla ya Dr Slaa)

-Mangula (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi lakini ni mkubwamnokwa Dr. Slaa)

- Sitta (amezaliwa tarehe 18/12/1942 miaka zaidi ya mitano kabla ya kuzaliwa kwa Dr. Slaa)

-Pinda (amezaliwa tarehe 12/8/1948 akimzidi miezi miwili Dr. Slaa)

-Kinana (mwaka wake wa kuzaliwa hauko wazi ingawa kuna habari kuwa amelitumikia Jeshi la Wananchi kwa miaka takribani 20 hadi alipong'atuka 1972. Kimahesabu, naye umri umekwenda)

Kuna orodha ndefu ya waandamizi chamani ambao ni wakubwa wa Dr. Slaa wa CHADEMA lakini hawaitwi 'babu'. Ni propaganda za kitoto sana. Niwaase wanachama wenzangu wa CCM na wakereketwa wetu kuachana na jina dhafu hilo kwa Dr.Slaa. Sisi tuna kaka na dada zake wengi tu ndani ya CCM. Nasi tuwaitaje?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)

- Anyways ina maana Dr. Silaa sasa ana miaka mingapi kama hujali mkuu

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom