Masaburi at work! Wewe umeona wabunge wa chadema tu? Ama kweli mnafiki chakula ya mamba.
Kuna mtu aliisha wahi kuandika humu jamvini kuwa mapro - cdm wengi wao akili zao zinatumia masamburi kujibu hoja , nimeanza kuamini sasa !
serikali kununua used ni kigezo cha kukua
kiuchumi? Au kuporomoka kwa kasi kwa uchumi
wa nchi yetu?
Nawasilisha.
Ilikuwa shinikizo la serikali ili mtambo wa Dowans ununuliwe ikashindikana hivyo sheria imebakia hadi sasa nadhani ATC waliweza kununua ndege zao chakavu kupitia sheria hii.. Tatizo ni kwamba sheria hii iliwekwa mwanzoni kutokana na viongozi kutumia vibaya mamlaka haya walinunua mitambo chakavu kwa kubwa karibu sawa na vipya ambayo maintanance yake ilitugharimu sana. Tumerudi kule kule na hakika with Ufisadi uliopo hatujengi ila tunashonea vilaka suruali ilokwisha..
Basi mwenyekiti wetu Mh.Kikwete ndio anaakili nyingi na hapa ni wakati wakubembea kwenye mabembea ya Jamaika
hebu weka nukuu kidogo ya alichosema tupate uhondo.wana jamvi, nimemtazama esther matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. My take; kama cdm itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa cdm itapungua katika uchaguzi ujao.
NA HUYU ALIWAHI KUWA KATIBU MKUU WETU NI MOJA YA WASOMI NA MAGWIJI PALE CCM