trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Sometimes bunge linaboa sio siri..
Kamanda una derserve senksi yangu maana umeweka itikadi pembeni na kusimamia ukweli. Na kama ulivyobainisha hii si mara ya kwanza kwa mbunge huyu kujadiliwa hapa kutokana na pumba zake. Abadilike maana anadhalilisha wabunge wa upinzani.Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuonge Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af Ndo Alikuwa Ass. lecturer UDSM, Kwa Mtindo Huo Sijui Darasani Halikuwa Ana Lecture Nini!?
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
Huu upuuzi umeuanzishia thread? Una akili za kuvukia barabara tu weweWana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
Wabunge wa viti maalumu toka vyama vyote weng hawana uwezo unaotakiwa, hizi nafasi bora wazifute lakn hajaongea pumba kama mtoa mada anavyodai..
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
Mpe nafasi kwani kila binadamu kuna siku anakuwa nje ya reli hivyo nashauri chukua samples nyingi zaidi kum judge. Kumbuka kuna watu walisema tule nyasi, tena wameshika nafasi kubwa sana nchini. Hawa wa chadema wana hazina mbili 1.Uadilifu 2. Siasa . Sasa wewe unaangalia (2 tuu) kitu ambacho ccm wameshakosa (1) wamebakiwa na (2) tena wengine hawana vyote Mfano najua ungependa kusikia (ari mpya, tumeweza )ili hali ukiwa ni uwongo kabisa lakini kwako utaridhika.Changia katika hoja iliyopo hao wengine wawasilishe wewe mimi nimemuona hoyo kilaza kwa hiyo pinga hoja na sio kutoa lugha za matusi.
Changia katika hoja iliyopo hao wengine wawasilishe wewe mimi nimemuona hoyo kilaza kwa hiyo pinga hoja na sio kutoa lugha za matusi.
Facts and Figure, Huyu ndo Genius wa Magamba.basi huyu ndio mwenye akili na asie kilaza
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
wana jamvi, nimemtazama esther matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. My take; kama cdm itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa cdm itapungua katika uchaguzi ujao.
Tatizo jina lake Membe for 2015 na jina la title yake limegeneralize wabunge wote. Lakini swala la kuwakosoa CDM wachemkaji sio mbaya hata Rejia jana swali kwa waziri mkuu utoto mtupu. Viti maalumu wengine mbona powa ( Kamili, Komu, Owenya, Kiwelu, Lyimo, Konjesta, Kiwanga, Mhonga ). Kamanda Mbowe, Arfi, Slaa na Zitto. na nyie si mnasikia baadhi ya wabunge wenu viti maalumu. Hata kama wanawadhiri baadhi yenu ni lazima wapigwe panga. CDM kwa sasa wakina mama mahiri kibao. 2015 hatujazi nafasi tu zitakazoongezeka vilevile panga litapita. Sio lazima kuongea kama huna cha kuongea. CDM hatutaki rekodi ya kuongea sana Mjengoni tunataka rekodi ya kuongea pointi.Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuonge Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af Ndo Alikuwa Ass. lecturer UDSM, Kwa Mtindo Huo Sijui Darasani Halikuwa Ana Lecture Nini!?
Kwa kweli nimemuona huyo mbunge yaani kichefuchefu kabisa.