Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

One person is not equivalent to the whole party.....kwa hiyo usi-criticize cdm kwa kigezo cha huyo mwanamama....mbona hutoi hoja kwa wabunge wa cdm ambao wanaitetemesha bunge wakitoa hoja? Hilo kwako ...sharp knife, yeah?
 
Masaburi at work! Wewe umeona wabunge wa chadema tu? Ama kweli mnafiki chakula ya mamba.

Kuna mtu aliisha wahi kuandika humu jamvini kuwa mapro - cdm wengi wao akili zao zinatumia masamburi kujibu hoja , nimeanza kuamini sasa !
 
serikali kununua used ni kigezo cha kukua
kiuchumi? Au kuporomoka kwa kasi kwa uchumi
wa nchi yetu?
Nawasilisha.
 
Kuna mtu aliisha wahi kuandika humu jamvini kuwa mapro - cdm wengi wao akili zao zinatumia masamburi kujibu hoja , nimeanza kuamini sasa !

Hii lazima ni mbinu mpya wanayotumia CDM kujibu hoja humu jamvini, tutafsiria tafadhali hapo kwenye red!!!!!!!!!!!
 
Hao wabunge wa ccm pamoja na uwingi wao wamesaidia kitu gani zaidi ya kufikiria posho. nimefanya kosa kuchangia hii thread za kipumbavu
 
Ilikuwa shinikizo la serikali ili mtambo wa Dowans ununuliwe ikashindikana hivyo sheria imebakia hadi sasa nadhani ATC waliweza kununua ndege zao chakavu kupitia sheria hii.. Tatizo ni kwamba sheria hii iliwekwa mwanzoni kutokana na viongozi kutumia vibaya mamlaka haya walinunua mitambo chakavu kwa kubwa karibu sawa na vipya ambayo maintanance yake ilitugharimu sana. Tumerudi kule kule na hakika with Ufisadi uliopo hatujengi ila tunashonea vilaka suruali ilokwisha..
 
serikali kununua used ni kigezo cha kukua


kiuchumi? Au kuporomoka kwa kasi kwa uchumi
wa nchi yetu?
Nawasilisha.

serikali ndo inaenda kaburini hivyo. baada ya muswada huu wa ndege,meli na treni chakavu utafuata muswada wa madawa chakavu. ccm ni wengi wataupitisha tu. kweli nchi inaporomoka. miaka 50 ya uhuru tumeweza na tumethubutu na tunasonga mbele.
 
Basi mwenyekiti wetu Mh.Kikwete ndio anaakili nyingi na hapa ni wakati wakubembea kwenye mabembea ya Jamaika
300028_237738752937036_100001027396245_774103_4178307_n.jpg
 
Ilikuwa shinikizo la serikali ili mtambo wa Dowans ununuliwe ikashindikana hivyo sheria imebakia hadi sasa nadhani ATC waliweza kununua ndege zao chakavu kupitia sheria hii.. Tatizo ni kwamba sheria hii iliwekwa mwanzoni kutokana na viongozi kutumia vibaya mamlaka haya walinunua mitambo chakavu kwa kubwa karibu sawa na vipya ambayo maintanance yake ilitugharimu sana. Tumerudi kule kule na hakika with Ufisadi uliopo hatujengi ila tunashonea vilaka suruali ilokwisha..

Ulikuwa unashauri nini?au wewe maono yako ni yapi??
 
wana jamvi, nimemtazama esther matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. My take; kama cdm itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa cdm itapungua katika uchaguzi ujao.
hebu weka nukuu kidogo ya alichosema tupate uhondo.
 
Naangalia bunge sasa hivi yaani ni mipasho na ujuaji tu ..kazi hipo.. These people bana..lol
 
Nimeangilia vikao vya bunge lao na ni wazi kabisa wabunge wa CCM hawajajifunza lolote kuhusu hisia za wananchi. Wanaendeleza ubabe kwa sababu ya wingi wao. Sijui nani mshauri wa ccm (kama yupo) ila kwa mtindo huu wabunge wengi (wa ccm) hawatarudi bungeni 2015. Kama CHADEMA wataweza kuzuia mamluki na migogoro wa ndani ni wategemee majority kwenye bunge la 2015-2020.
 
Tatizo hapa siyo sheria ya manunuzi, suala hapa ni kwamba jamaa wanatengeneza mazingira ya kuja kununua mitambo iliyoingizwa nchini kipindi hiki kwa kigezo cha umeme wa dharula. Ukweli ni kwamba mitambo hiyo inauwezo wa kufanyakazi kwa zaidi ya miaka 10 au zaidi kama inapata service nzuri.

Serikali imewapa wawekezai hao wa umeme wa dharula muda usiozidi miaka miwili kwa malipo ambayo ndani ya muda huo watakuwa wamerejesha gharama zao za manunuzi ya mitambo, kuisafirisha mpaka hapa na faida juu.

Kwa kuwa hakuna nchi nyingine inayoweza kuliwa kama hii yetu kupitia miradi kama hii ya umeme hivyo jamaa wanaona sio sawa kuiacha mitambo hiyo iozee hapo baada ya mikataba kuisha so wanafikiria jinsi ya kuiuza na mnunuzi mzuri hapa ni serikali pekee ambayo itawafanya wapate pesa zaidi.

Jamaa hawawezi kuitaja mitambo hii katika hili watazunguka mibuyu wee lakini focus yao kubwa ni hapo ndio maana wamewatuma wanahisa wenzao (wanasiasa) wakajaribu kulishawishi bunge lipitishe muswada huo ili miaka miwili ijayo wagawane mabilioni na tayari kwa kuelekea uchaguzi mwingine!
 
Hayo ni mawazo yako wewe mwenye mawazo finyu au wewe Ccm nini,Kwa taarifa yako wabunge ndio wataongezeka hayo ni mapungufu tu kwa kila mwanadamu je unafurahi CCM wanavyotudanganya kila mwaka?

Nahisi wewe utakuwa ni mzee tena wa zaidi yamiaka 80 namaanisha umerudi utotoni manake chini ya hapo hawawezi kuongea pumba kama zako usipotoshe wananchi fanya yako.

Nguvu ya umma itaendelea kuwatikisa ninyi mafisadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom