Kama Black is Beauty....... Mkorogo wa nini tena

....... I was about to ask the same question, kuna uhusiano gani ya mkorogo na kuota ndefu, mbona tokea zamani kabla ya mikorogo kuna baadhi ya wanawake walikuwa na ndevu..........tena kuna koo nyingine wanawake wote wana ndevu.
Matokeo ya magonjwa mengi duniani yana vyanzo viwili tu. Ama uambukizo unaoletwa na vimelea, Bakteria au virusi na kwa upande mwingine ni Urithi. kwa mfano magonjwa kama kisukari vipo vinavyosababishwa na ulaji wa hovyo na kipo kisukari cha kurithi.

Midevu ya wanawake inayowatoka siku hizi mingi yake inasababishwa na Mikorogo au Contraceptives Pills. Mbona hizi dawa za kuongeza siku kwa ndugu zetu wenye UKIMWI zinawatoa wanaume matiti? Ndevu za urithi kwa wanawake haziko kama hizi zinazosababishwa na mikorogo. CHUNGUZA! Kuna tafiti zimefanyika kwenye nchi za Francophone ziimethibitisha hilo. Huko tatizo hilo ni kubwa sana.
 
Mkorogo ndio unaosababisha ndevu kwa wanawake?

Ukweli ndo huo Gaijin, mkorogo unaotesha ndevu na vinyweleo, pia mkorogo unaleta stetch marks tena kubwa sana. Kama ushaona wanawake walopasuka pasuka miili yao, ni mkorogo huo.
 
Umenikumbusha kuna bibi mmoja(sio mzee sana) nilimuona jana ni mweusi na ana ndevu tena adi zimeota mvi!! Sasa huyu nae sijui tutasema alitumia mkorogo!

Hapana, nikweli kuna wenye ndevu za ukoo, lakini kubalini mkatae mkorogo unaleta ndevu na stretch marks.
 
Ni kweli mikorogo inahusika ktk swala la kuongezeka/kuonekana kwa vinyweleo au ndevu kama mnavyosema lakini kwa swala la mipasuko ya ngozi-stretch marks sidhani coz zile huletwa na ngozi kushindwa kuhimili wingi wa nyama so ngozi inakuwa inaachia, na hii hutokea yale maeneo yenye nyama nyingi kama ******, mtiti, mikono ya juu, na tumboni during pregnancy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom