Kama Black is Beauty....... Mkorogo wa nini tena

waafrika tutaendelea kweli ? ukitoka kidogo jamaa wanamsumbua sweety.

kama nimekamatwa wewe si wa kunisaidia mkuu badala ya kumsumbua shemeji yako ?

uporoto laiti kama ingewezekana watu kufa na kuona yanayotokea wakisha kufa
kungekuwa hakuna watu wenye marafiki.......
mkeo hutaamini nani atakae kurithi ukishakufa....unbelievable.....lol
 
Hhahaha!!! Boss Boss Kungekuwa hakuna ushikaji kabisa
 
uporoto laiti kama ingewezekana watu kufa na kuona yanayotokea wakisha kufa
kungekuwa hakuna watu wenye marafiki.......
mkeo hutaamini nani atakae kurithi ukishakufa....unbelievable.....lol
Very true,kuna mzee mmoja alimsaidia kijana kibiashara na akawa anahisi yule kijana anatembea na mkewe,mzee aliugua na alipokaribia kufa akasema ndugu naomba mnihakikishie mke wangu na huyu kijana nikifa wasiwe pamoja.Kweli mzee kufariki tu baada ya miezi 4 mke akauza kila kitu na kuhamia na kijana UK.
 
Nilijua hauwezi kuachiwa kwa dhamana kwahiyo lazima utest zali lol
Njaa tu rafiki kule si nilipelekwa kwenda kufundisha mbinu mpya za uibaji kura baada ya hawa wapinzani kustukia ile mbinu ya mwaka 47 ya kuorodhesha vitambulisho na kuwatisha wanavijiji wakiwapa kura upinzani tutajua lol!
 
Very true,kuna mzee mmoja alimsaidia kijana kibiashara na akawa anahisi yule kijana anatembea na mkewe,mzee aliugua na alipokaribia kufa akasema ndugu naomba mnihakikishie mke wangu na huyu kijana nikifa wasiwe pamoja.Kweli mzee kufariki tu baada ya miezi 4 mke akauza kila kitu na kuhamia na kijana UK.

mzee wa watu alikufa kwa presha kumbe
 
Imenibidi nicheke tu
 
mzee wa watu alikufa kwa presha kumbe
cha kusikitisha zaidi kijana alikuwa hana kitu mzee akamkaribisha kwake,akamfundisha biashara na kumfungulia supermarket alichoambulia ni kijana kuchafua nyumba yake,soo sad nilimfahamu mzee huyu.
 
hii dunia hii we ione hivi hivi............
 
Duh maziwa ya kitimoto?
Na mimi ntapenda japo niuone tu huo mkorogo wa kitimoto.
 
Acha wajikoroge weeee midevu iote weee, wawe kama vibeberu, ndo wa kome ubishi.
Na miili inavyo wapasuka ma mistari kibao, mpaka mvuto uwaishe, na lengo lao lakupendwa liishe.
 
Mkorogo ndio unaosababisha ndevu kwa wanawake?
....... I was about to ask the same question, kuna uhusiano gani ya mkorogo na kuota ndefu, mbona tokea zamani kabla ya mikorogo kuna baadhi ya wanawake walikuwa na ndevu..........tena kuna koo nyingine wanawake wote wana ndevu.
 
Umenikumbusha kuna bibi mmoja(sio mzee sana) nilimuona jana ni mweusi na ana ndevu tena adi zimeota mvi!! Sasa huyu nae sijui tutasema alitumia mkorogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom