Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!
Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!
Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!
Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?