Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!

Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!

Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!

Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?
 
Mmmh labda si human za sasa iv yaani zikosee kuvaa kondom sidhani
 
Ingekua poa zaidi kama ungetoa elimu badala ya kuishia kushambulia tu.

Sio rahisi kujua vitu vyote mkuu, ndio maana kuna wataalamu wa kada mbalimbali. Wahamasishaji wa uvaaji wa kondomu na wa barakoa hutumia mbinu tofauti mkuu sio rahisi kujua vyote kwa usahihi.

Toa elimu mkuu.
 
Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!

Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!

Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!

Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?
Upo sahihi mkuu. Katika kundi la watu 10 unaweza kuta hakuna hata mmoja aliyevaa barakoa kwa usahihi.
 
Ingekua poa zaidi kama ungetoa elimu badala ya kuishia kushambulia tu.

Sio rahisi kujua vitu vyote mkuu, ndio maana kuna wataalamu wa kada mbalimbali. Wahamasishaji wa uvaaji wa kondomu na wa barakoa hutumia mbinu tofauti mkuu sio rahisi kujua vyote kwa usahihi.

Toa elimu mkuu.
Bro kama barakoa mtu inamshinda, hiyo elimu ya condom si nikupoteza mda!

Ebu waza barakoa ilivyo rahisi inamshinda ...condom atawezaje kwa mfano!
 
Bro kama barakoa mtu inamshinda, hiyo elimu ya condom si nikupoteza mda!

Ebu waza barakoa ilivyo rahisi inamshinda ...condom atawezaweza kwa mfano!
Ni rahisi kwako mkuu, kwa mfano mi zamani nilijuaga kuvaa gloves ni unavaa tu vyovyote lakini kumbe kuna process zake za kuvaa, japo inaonekana ni kitu cha kawaida lakini kina hatua zake na utaalamu wake japo wengi huona ni kawaida tu .

Barakoa pia ni mambo ya afya, si ajabu kwa mtu kutojua kuvaa mkuu.

Toa elimu mkuu, kama unajua elekeza tu sio kosa
 
Mbona kwenye kujamiaana sijawahi ona mtu kakosea kutia, akaweka hata kwapani?

Hayo huwa wanafundishwa na nani,? Na wapi pa kuchomeka?
 
Daah mkuu hiyo ni nature!! Ni natural kiumbe yeyote hafundishwi kusex.

Hivi vingine ambavyo sio vya kiasili kufundishwa ni muhimu.
 
Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!

Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!

Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!

Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?
Hiyo ni reflection ya mambo mengi kutofanywa kwa usahihi.. Hata dawa tunazoandikiwa hospital wengi hawazingatii masharti
 
Condom zimekuwepo miaka mingi na elimu imeshatolewa sana...itakuwa ajabu kuwa na idadi kubwa ya watu wasiojua namna ya kuweka condom kwenye uume...

Barakoa kwa matumizi ya uma zina kama miaka miwili, pia zipo za standards tofauti tofauti kulingana na watengenezaji (homemade au za viwandani)...

Mafunzo ya uvaaji wake hayajawa endelevu sana
 
Huko mbali sana kwenye dawa!
Tujadili hili la uvaaji wa protective gears!

Mfano! Helmet unakuta mtu msomi na saa ingine hata trafiki officer kabisaa lakini helmet anaibandika kichwani kwa kuiegesha kama bakuli akiinama inadondoka!

Sasa mtu kama huyu anaweza vaa condom kwa usahihi kweli?

Maana wengine hata kuvaa kwao ni jambo la aibu!
Kununua ni aibu, na kutumia ni mtihani! Achilia mbali wananunua halafu wanaona tabu kuzitoa mfukoni wawapo chumban
 
Condom zimekuwepo miaka mingi na elimu imeshatolewa sana...itakuwa ajabu kuwa na idadi kubwa ya watu wasiojua namna ya kuweka condom kwenye uume...

Barakoa kwa matumizi ya uma zina kama miaka miwili, pia zipo za standards tofauti tofauti kulingana na watengenezaji (homemade au za viwandani)...

Mafunzo ya uvaaji wake hayajawa endelevu sana
Duh kwahiyo kuvaa barakoa inahitaji miaka 10 kuelekezana? Sasa kama kitu cha kubandika sikioni tu ni shida!

Huko kwingine hali si itakuwa mbaya zaidi!
 
Leo hii unamfundisha mtu kuvaa barakoa akiwa na pua na mdomo kwa vitendo lakini hakuelew!
Unawezaje kumfundisha kuvaa condom akiwa hajadindisha, maana hachelewi hata kujibu niletee K.. Nifanye kwa vitendo! Ili nielewe
 
Duh kwahiyo kuvaa barakoa inahitaji miaka 10 kuelekezana? Sasa kama kitu cha kubandika sikioni tu ni shida!

Huko kwingine hali si itakuwa mbaya zaidi!

Usipovaa kondomu vizuri inajulikana ni kupata STDs au mimba zisizotarajiwa, wimbo huo unaimbwa na umeimbwa sana...

Hulka zetu wanadamu zipo hivyo, tunahitaji kuambiwa tena na tena na tena hadi mazoea yatapokuwa tabia...

Kwenye hilo la masks nalo muda mrefu ukipita watu watazingatia tu, lakini pia kumbuka kuna watu hawawezi vaa hayo madude muda mrefu kwa sababu za kiafya yaani wanahitaji oksijeni nyingi
 
Usipovaa kondomu vizuri inajulikana ni kupata STDs au mimba zisizotarajiwa, wimbo huo unaimbwa na umeimbwa sana...

Hulka zetu wanadamu zipo hivyo, tumahitaji kuambiwa tena na tena na tena hadi mazoea yatapokuwa tabia...

Kwenye hilo la masks nalo muda mrefu ukipita watu watazingatia tu, lakini pia kumbuka kuna watu hawawezi vaa hayo madude muda mrefu kwa sababu za kiafya yaani wanahitaji oksijeni nyingi
Haha
 
Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!

Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!

Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!

Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?
Dmkali ungeweka na kapicha ka kukosewa kuvaliwa barakoa mkuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom