Hii ni hatari mpya inayoinyemelea Tanzania hata baba yake alisuuzika moyo jana. Kweli ufisadi unarudi ila wakumbuke nchi itawaka moto.Weka hakiba ya maneno CHIEF WINGIA kuna vitu havihitaji ramli...tena kuna ccm sijaitaja hapa..ccm maslahiView attachment 1729777
Mkuu utarudi chamani?Sisi Wasukuma tuna bahati mbaya sana fursa pekee tukajifanya miungu watu sasa tunarudi kula miwa kwenye Baiskeli
Hao ndio matumbo joto
Mapenzi ya Chama kile yalishanitoka kabisa, sasa hivi Chadema kiko Moyoni mwangu.Mkuu utarudi chamani?
[emoji1534][emoji1548][emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1752][emoji2839][emoji2839][emoji344][emoji344][emoji344][emoji397][emoji397][emoji397]Mapenzi ya Chama kile yalishanitoka kabisa, sasa hivi Chadema kiko Moyoni kwangu.
Nitabaki Chadema hadi pale Katiba mpya na Tume huru zitakapopatikana ninataka kuiona Tanzania mpya yenye kuheshimu HAKI za Binadamu.
Nataka kuuona Chaguzi zikifanyika kwa Uhuru na HAKI huku mshindi tukimpongeza na kumpa mkono wa furaha.
UNAJUA MIMI NI NANI?[emoji1534][emoji1548][emoji1752][emoji1752][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1752][emoji2839][emoji2839][emoji344][emoji344][emoji344][emoji397][emoji397][emoji397]
Unajengea reli watu 10 unawaacha watu 100,000 kwenye umaskini,turudishieni uchumi wetuBora hao majizi lakini hela zilikuwa kwenye mzunguko mtaani kila mtu zinampitia,sio hao washamba mafisadi wa kimya kimya hela wanazifukia ndani shenzitype zao.
Unaposema wasukuma ogopa Sana. Hii ni jamii ya kuiendea pole. Wakiamua lao nchi itatikisika.Ni vita kati ya washamba na watoto wa mjini. Ndugu zangu wasukuma zile mbwembwe ndio zimefikia tamati.
Mmmh.. wewe unajua ccm kweli? Ama unaisikia tu.Ccm Haina katibu mkuu na mwenyekiti kikao Cha kesho ni moto
Wanachama maandazi hawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vipi Saccos ya Chadema inaendeleaje? Imeshindwa hata kutoa uamuzi wa wale wabunge wenu wa Covid-19!!
Ujumbe muruwaa kabisa huo, sasa hawa waliobaki wajifunze
Sheria kandamizi alizo ziandaa bwana yule zifutwe.Tanzania huru inarudi
Kama kuna msiba uliojaa unafiki, majungu na fitina ni huu. Mbele ya vyombo vya habari ni nyuso zilizogubikwa na majonzi na uchungu lakini nyuma ya pazia ni shangwe, vigelegele na kujipanga. Ni mtifuato na kujipanga upya.
CCM asilia (wenye chama chao) haooo... CCM makinikia kijasho chembamba kinawatoka. Ni mtifuano wa kugombea nafasi.. CCM asilia imedhamiria kurudi mazima, CCM makinikia inahaha kubaki kwenye power.
Mama Samia anaapishwa muda huu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2021-2025. Wiki chache zijazo tutashuhudia mengi sana ndani ya CCM. Tutakuwa na mengi mno ya kushirikishana. Stay tuned.
Kwasasa ni shangwe tupu kwa CCM asili na wanatamani msiba uishe haraka.. Wanatamani hata mazishi yafanyike kesho.
Je, CCM makinikia ina ubavu wa kupambana na CCM asili? Tuombeane heri. Mtifuano wa ndugu wawili wasiopendana unakuja.