Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,072
- 25,176
Blood alcohol level sasa hivi weshachelewa; itakuwa imeshashuka. Ila kuna taarifa kuwa kuna surveillance video ikionyesha mwenyekiti akiteleza kwenye ngazi na kuanguka akiwa na nyumba ndogo ambayo ilikimbia baada ya tukio hilo; nadhani video hiyo ndiyo ya kutolewaNaona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna