Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,534
- 146,107
- Thread starter
- #141
Hey Kamanda, mambo?Nyani ni nyani tu hawezi kubadilika akawa Mtu kama "evolution science" inavodanganya watu....!
We nyani ni lini au sheria ipi inayosema mtu akilewa chakari na ikatokea akavamiwa na kushambuliwa na wasiojulikana ni HALALI?
Tuondolee akili za kinyani hapa!
Mwenyekiti wenu ni mlevi?