Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,048
- 74,772
Kama unavyosadiki wewe maneno ya LijualikaliUnasadiki sana wewe!
Pole sana kamanda.
Kama unavyosadiki wewe maneno ya LijualikaliUnasadiki sana wewe!
Pole sana kamanda.
Ulevi unasababisha mengi.Kwa hiyo cha msingi ni kujua kama kweli ameumia ( imesemwa Bungeni kuwa hakuumia) na kama ametumia, ameumiaje. Suala la ulevi ni sekondari. Kama amepiga mtu au kuua mtu navyo vinaweza kuthibitishwa.
Amandla...
Hakuna nilichosadiki. Mtu anayesadiki hawezi kutaka njia za kisayansi zitumike katika kuutafuta ukweli.Kama unavyosadiki wewe maneno ya Lijualikali
Sijui.
Mi siyo mwanasayansi. Mi mbeba maboksi tu.Naona sayansi haijakusaidia kujua.
Kulewa ni ugonjwa?😄Mwenye Siri yote ni yeye mwenyewe mgonjwa tuvute subira
La msingi ni kujua kama kweli aliumia mwenyewe au aliumizwa. Ikiwa ikionekana kuwa alijiumiza ndio sababu za kwa nini alisema uongo zinatafutwa. Hapo ndipo suala la impact ya ulevi linaingia. Je alisema uongo kuficha aibu ya kuwa alikuwa amelewa au ulevi ndio ulimfanya asahau. Ikithibitishwa kuwa aliumizwa na watu wengine, suala la ulevi linakuwa halina maana.Ulevi unasababisha mengi.
Unaweza ukasababisha mtu kuanguka na kuumia halafu akashindwa kujua kaumiaje na kuanza kudai kapigwa ilhali hajapigwa.
Ulevi unaleta impairment. Hali inayoweza kumfanya mtu aone maruerue. Mfano, mtu aliyelewa anaweza kukikimbia kivuli chake akidhani ni mtu mwingine anayetaka kumtendea ubaya.
Kwa hiyo, suala la ulevi si la upili kama unavyodai wewe. Ni suala la msingi kabisa, hususan katika kuutafuta ukweli.
Sasa hadi mtu wana mtransifer to Dar bado utasema ni zuga tu? Ujue hapo hili kundi linalotaka kuaminisha watu kua hajashambuliwa ndio wahusika wenyewe hao.... Kwani angekua ameanguka kwa kulewa si angesema tu nilianguka kwenye ngazi? Shida ingekua wapi?Kulewa ni ugonjwa?[emoji1]
La msingi ni kujua kama kweli aliumia mwenyewe au aliumizwa. Ikiwa ikionekana kuwa alijiumiza ndio sababu za kwa nini alisema uongo zinatafutwa. Hapo ndipo suala la impact ya ulevi linaingia. Je alisema uongo kuficha aibu ya kuwa alikuwa amelewa au ulevi ndio ulimfanya asahau. Ikithibitishwa kuwa aliumizwa na watu wengine, suala la ulevi linakuwa halina maana.
Amandla...
kwani mlevi hawezi kushambuliwa?tena mimi nadhani akiwa kalewa ndio mda muafaka wa kumfanyia umafia.
So hizi hoja zenu hazina mashiko.Anaweza kuwa alilewa na akashambuliwa pia.Msitufanye hatuwezi kufikiri.Mtu adondoke kwa ulevi halafu aitangazie dunia kapigwa,ili iweje?!acheni ujinga nyie lumumba boys.
Ushawahi kulewa wewe? Ushawahi kulewa chakari wewe?Sasa hadi mtu wana mtransifer to Dar bado utasema ni zuga tu? Ujue hapo hili kundi linalotaka kuaminisha watu kua hajashambuliwa ndio wahusika wenyewe hao.... Kwani angekua ameanguka kwa kulewa si angesema tu nilianguka kwenye ngazi? Shida ingekua wapi?
Mkuu katika nchi zilizoendelea ukigonga gari au ukisadikiwa umelewa, basi polisi kitu cha kwanza watakachofanya ni kukuliza ni kwamba ulikuwa saa ngapi na kisha kukupima kwa Breathalyser.
Kisha kama umelewa kupita kiwango yaani tuseme kuanzia 75 kwenda juu basi unafungwa pingu na wapelekwa rumande ukalale ili uwe sober.
Hivyo kulewa ni primary na kuumia ni secondary.
Au weye waonaje?
Amandla.
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Makamanda waoga sana aisee [emoji1787]
Hapana. Ishu ya kwanza ni kama umegonga au unaendesha kiasi cha kuhatarisha maisha ya wengine. Hiyo ndio primary cause. Ili kupata sababu ya kwa nini unafanya hivyo ndio unapimwa ulevi, hugo ni sekondari. Ukionekana kuwa kweli umekunywa kuliko inavyotakiwa, basi unalimwa DUI. Tukitumia mfano kama huo, kama ukidondoka kwenye tracks za subway, primary concern ni kuwa ulijirusha, ulisukumizwa au umeanguka kwa bahati mbaya. Hivyo hata kama utaonekana umelewa chakari, watataka kujua kwa nini ulianguka. Wataangalia kamera na kuwauliza walioshuhudia ili wajue kwa nini ulianguka. Wakiona kuwa haukusukumizwa ndio ulevi wako unapewa umuhimu wa kuwa pengine ulijirusha au uliteleza kutokana na pombe zako. Katika suala hili, hali ya ulevi wa KUB itakuwa na umuhimu pale tu ambapo inakapo onekana kuwa amesema uongo. Ikiwa ni kweli alishambuliwa na watu wasiojulikana, halo take ya ulevi itakuwa haina mashiko. Labda kama itakuwa aliwachokoza kutokana na kulewa kwake.
Amandla...