Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,970
C bure umeshakuwa gasho mkuu
Hata kukutia anaweza.
jingine?
Hata kukutia anaweza.
jingine?
Wala sijakurupuka kamanda.Mkuu, Ngabu natambua ndani ya jukwaa hili wewe ni miongoni mwa watu makini na wala siku zote huwa hukurupuki ktk "sensitive issues" Nakusihi ktk hili vuta subira tu, na pia usikurupuke tena kama ulivyofanya wakati wa tukio la Tundu Lissu.
Punguza Sana assumption Mkuu mwanzo umesema DCMC ni karibu na eneo la tukio hapa jamaa kakueleza umekimbilia Tena suala la SECURITY, Makamanda mbona mnayumba sana
Tumeshindwa kuchunguza Mapapai, Mbuzi na Maparachichi mpaka leo tutaweza kuwatafuta wasiojulikana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.
Nani ata verify vipimo havijachakachuliwa kisiasa?Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Nani ata verify vipimo havijachakachuliwa kisiasa?
Mkuu hapo umejibu vizuri sana. Sasa tuwaulize hao wapelelezi wetu , kwa nini hawampimi tumalize shauri? Maana hata kama makamanda hawapendi, yule si angepimwa tu? Na anayepima sio makamanda. Inashangaza inifwaktiAnaweza kupigwa, anaweza kupiga, anaweza kuzusha, na anaweza kuua.
Kwa ufupi, anaweza mengi tu.
That is a rare commodity in the current atmosphere of fear.An independent doctor or something like that...
Well, kama hamna imani ya uwepo watu wanaoeweza kuaminika, basi tena. We’re screwed.That is a rare commodity in the current atmosphere of fear.
Leo nilikuwa nasikiliza BBC World Service wanamnanga Magufuli kuhusu kutangaza Covid-19 imeisha Tanzania.
Wakawa wanamuhoji daktari mmoja wa Tanzania, wanasema hataki kutaja jina lake kwa sababu anaogopa serikali itamfanya mbaya.
Sasa watu kuzungumza tu wanaogopa.
Kwenye kumpima Mbowe sina hakika kama kuna independence.
Lakini pia bado tutakuwa hatujasolve tatizo,kwani kuwa na kilevi hakukuzuii kuvamiwa na kupigwa,Mbowe maisha yake yote anakunywa Pombe na hajawahi kukutwa na hali kama hii.Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Kwa mbowe mtumie sayansi ila corona itumike kupiga nyungu, ni uzwazwa uliopitilizaNaona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Na mi nimeuliza swali hilo?Mtu aliyelewa chakari hawezi kupigwa?
Amandla...
Anatumia kilevi toka enzi za Nyerere,kwenye awamu hii kimebadilika nini?Ulevi unasababisha mengi.
Unaweza ukasababisha mtu kuanguka na kuumia halafu akashindwa kujua kaumiaje na kuanza kudai kapigwa ilhali hajapigwa.
Ulevi unaleta impairment. Hali inayoweza kumfanya mtu aone maruerue. Mfano, mtu aliyelewa anaweza kukikimbia kivuli chake akidhani ni mtu mwingine anayetaka kumtendea ubaya.
Kwa hiyo, suala la ulevi si la upili kama unavyodai wewe. Ni suala la msingi kabisa, hususan katika kuutafuta ukweli.
Kama husadiki nenda bamanga kuna hotel pale kaulize yanani?Unasadiki sana wewe!
Pole sana kamanda.
Mbali na blood alcohol level,Madaktari wanaweza kutambua kama jeraha ni la kuanguka au la.Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.