Simu imetoa clear..ni simu gani hiyo?Mto Kalambo ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania upande wa kusini magharibi, mkoa wa Rukwa na ya Zambia upande wa kaskazini, ukiwa mpaka kati ya nchi hizo mbili kwa sehemu fulani. Ni maarufu kwa maporomoko yake yaitwayo Kalambo falls . Maji yake yanaishia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.
All photos credit to myself. View attachment 1778479View attachment 1778482View attachment 1778483View attachment 1778482View attachment 1778483
View attachment 1778491
Sidhani kama tunaweza kutumia kufua umeme kwa sababu hayo maporoko yapo mpakani baina ya Tanzania na ZambiaBado tunahangaika hatuna umeme wa uhakika!Tanesco mpo?!!!
Sio picha zote nimepiga kwa simu nyingine nimetumia camera ila baadhi nimetumia simu Iphone SESimu imetoa clear..ni simu gani hiyo?
Hapana nilikuwa huko December 2020.Bado upo huko
Nimekosea mkuu.Kwani Rukwa ni kusini Magharibi.Mbona unapotosha.
Wasimamizi wengi wa mambo ya utalii bado sio wabunifu.Ok no sehemu nzuri Sana kutuliza akili ingiwa miundombinu back ni ovyo Sana serikali badi haijaona umuhumu wake
Tunaingia ubia mkuu,hawa ni jamaa zetu Wazambia.Sidhani kama tunaweza kutumia kufua umeme kwa sababu hayo maporoko yapo mpakani baina ya Tanzania na Zambia
Hata kule gombe kigoma kuna maporomoko lkn tunashindwa kuzitumia vzr hizo rasilimali kea maendeleo yetu.Bado tunahangaika hatuna umeme wa uhakika!Tanesco mpo?!!!
Urefu wa viwanja viwili vya mpira si mchezoThe Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls and some more waterfalls). Downstream of the falls the Kalambo Gorge which has a width of about 1 km and a depth of up to 300 m runs for about 5 km before opening out into the Lake Tanganyika rift valley.