Kalabrasha tata

Kalabrasha tata

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Baada ya kutokea kwa ajali ya boti zanzibar Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh: Jakaya mrisho kikwete alikuwa akihutubia huku akitabasamu kama kwamba halikuwa Tatizo kwake,kama mwanamuziki Diamond kwenye nyimbo ya mabomu ya gongo la mbona,mrisho mpoto analalamika yeye anatabasamu.
Ok yule ni msanii na alipaswa kuiga kulingana na ujumbe.
Huyu je ambae ni Raisi wa nchi?
"ukiona paka kalala chali vunga virago"
 
Ukiona paka kalala chali....................................
 
Back
Top Bottom