mmmmmmh pole yake
keleuwiiiiiiii!uwiiiiiiiiiiiiii
Muwe mnaweka tafadhari jaman kuwa picha ifuatayo mtu ajipange kuangalia
Picha kama hizi hazifai kuwekwa tena bila ya tahadhar yeyote....tutauana wallah
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ameandika Picha inatisha!! brckt..... Kusoma hujui??
Taratibuuu eeeh...alikua hakuandika hivo ame edit mda si mrefu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums