Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
inatisha kweli
Mkuu si ameshasema picha inatisha au huelewi maana ya kutishaMuwe mnaweka tafadhari jaman kuwa picha ifuatayo mtu ajipange kuangalia
nimekua na mashaka na hii picha nimeiangalia kwa makini sana na kugundua vitu vifuatavyo
Ameandika Picha inatisha!! (brckt.... )Kusoma hujui??
heh pole yake vipi na mtu keshafariki!
pole iende kwa wafiwa!bwana ametoa na bwana ametwaa.
Muwe mnaweka tafadhari jaman kuwa picha ifuatayo mtu ajipange kuangalia
keleuwiiiiiiii!