Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

Kuna pisi nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili.

Ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga.

Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila
tafuta pesa,
 
Kaka mtu anakuepusha na mengi sana. Kwanza shukuru Mungu kwa kutokuwa mchaga tena katoe na sadaka kabisa
Nyie ni matako huko kwenu hakuna wanawake
Wewe unachuk na wachaga coz walikuzalisha na kukunyang'anya mtoto
Pambanen na hali zenu kuna kitu hamkijui nyie kyasaka wachaga haturuhusiwi kuoa kabila lingine ila kuzaa nao sawa ila sio kuoa kwa hiyo usijidanganye ukizaa na mchaga atakuoa utasubir sanaaa anaenda kuoa kwao
 
Kuna pisi nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili.

Ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga.

Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila
Wanajielewa hao...huyo kaka mtuu ana akili kubwa sana. No prejudice just predilection my friend🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kaka yake kakuona lofa
Huna maisha,apeche alolo
Utampa maisha gani dada yake zaidi ya du du unalojisifia nalo?
Waweza lipeleka bank ukapewa 20m ya kuanzishia biashara hilo gobole lako?nope
Hivi wewe ndiyo ulisema unafanya kazi BoT? Tena senior officer
 
TENA UKIWEZA NENDA KATOE SADAKA YA SHUKRANI,
KUNA KITU KIKUBWA SANA UMEKIHEPUKA!
NDOA/MAHUSIANO NA WACHAGA NI MATESO SANA.
OGOPA NDOA NA MCHAGA AISEEE...
ACHA WAOANE WAO KWA WAO.
Hivi kuna mtu alishashikiwa kisu aoa kabila fulan?
Kiherehere chenu ndiyo kinafanya mnaoa huko
 
Usilie sana,nakupa uchaga kuanzia leo utaitwa Nderimira Munuo.
Hahaha na mimi nilitaka kumwambia kama tatizo ni uchaga sasa si awe tu mchagga aendelee kula mbususu mbona ni jambo jepesi tu

So kwa comment hii naomba uzi ufungwe mleta mada kashakua mchaga
 
Sana tena ni wabinafsi na hawana utu. Huwa wanajiona wapo special sana Tanzania hii
Yes ni special sana ndiyo wanaoingiza pato kubwa kwa taifa
Halafu ni famous sana dunia yote mchaga yupo sio watu wa kelele
 
Back
Top Bottom