cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Atembezewe visu na nani? Mbna ni uchuro kabisa Kaka kumkatalia dada mwanaume wa kuwq nae, ikiwa umri na muda unaruhusu.Mwisho wa siku atembezewe visu ndo aridhike 😀
Kwa desturi ya kwetu.
Atembezewe visu na nani? Mbna ni uchuro kabisa Kaka kumkatalia dada mwanaume wa kuwq nae, ikiwa umri na muda unaruhusu.Mwisho wa siku atembezewe visu ndo aridhike 😀
Tafuta mume uolewe acha kutusumbua

nilitaka nikupatie ushauri wa kumpachika huyo binti mimba ila sidhani kama itawezekana. Kama tangu mwaka jana hadi leo mme sex mara mbili tu. Inawezekana pia huyo bro wake amekuona wewe jamaa ni boya, you need to be a tough guy

Sasa mpaka anasema awe nae mbali huoni kuwa kuna jambo linaweza tokea akikaidiAtembezewe visu na nani? Mbna ni uchuro kabisa Kaka kumkatalia dada mwanaume wa kuwq nae, ikiwa umri na muda unaruhusu.
Kwa desturi ya kwetu.
Jambo gani? Bas huyo Kaka awe nae yeye huyo dada ake.Sasa mpaka anasema awe nae mbali huoni kuwa kuna jambo linaweza tokea akikaidi
I disagreeKaka mtu anakuepusha na mengi sana. Kwanza shukuru Mungu kwa kutokuwa mchaga tena katoe na sadaka kabisa
Kumbe kaka wakiwakatalia huwa inauma bas atoroke aende kwa msela maana haina namnaJambo gani? Bas huyo Kaka awe nae yeye huyo dada ake.
TENA UKIWEZA NENDA KATOE SADAKA YA SHUKRANI,Kuna pisi nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili.
Ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga.
Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila![]()
HAO WATU WAZURI TU MACHOPNI PA WATU , NI WANYAMA NA KATILI SANA HUKO MAJUMBANI KWAO.Wachaga wanaukabila sana, hasa umkute demu wa kichaga ambae kwao pesa zipo alafu wewe bado hujayapatia maisha, aisee utaundiwa zogo ni hatari.
Mimi kama Chief Lumanyika kutoka Bukoba, nikikikutana na Demu akaniambia na Mchaga automatically stimu zinaisha, japo sio Wachaga wote ila wengi wao wanaotoka huko kwao Uchagani, na wenye pesa wengi wanaukabila.
At least wasukuma, mimi nimewai kwenda mpaka Usukumani na sijawahi kukutana na ukabila kwa Wasukuma... Unapewa mpaka mke bure Usukumani.
Hakuna kabila lina sifa mbaya Tanzania hii kuwazidi wachaga, ubinafsi, roho mbaya,uchoyo, ushirikina, uwizi nk....
Utafiti ulifanyia wapi?Hakuna kabila lina sifa mbaya Tanzania hii kuwazidi wachaga, ubinafsi, roho mbaya,uchoyo, ushirikina, uwizi nk....
Dah...jf nyoko si kwaushauri huuTafuta dem wa huyo braza umchukue, usikae kinyonge.
NakaziaTafuta dem wa huyo braza umchukue, usikae kinyonge.
Bro kaona amtafutie sababu... yaani mara mbili tu aisee mwaka mzima... Huyu anywangwanywe mke tu huyu hafainilitaka nikupatie ushauri wa kumpachika huyo binti mimba ila sidhani kama itawezekana. Kama tangu mwaka jana hadi leo mme sex mara mbili tu. Inawezekana pia huyo bro wake amekuona wewe jamaa ni boya, you need to be a tough guy
Ngoja nikusaidie mkuu;Kila nikiandika nafuta
Bora umenisaidiaNgoja nikusaidie mkuu;
Mtoa mada ana Kila viashiria vya kuleft group.
Awali ya yote kwa mwanaume rijali na timamu kutumia maneno "KISA MIE" itoshe tu kusema huyu naye Tumempoteza.