Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

Wachaga wanaukabila sana, hasa umkute demu wa kichaga ambae kwao pesa zipo alafu wewe bado hujayapatia maisha, aisee utaundiwa zogo ni hatari.

Mimi kama Chief Lumanyika kutoka Bukoba, nikikikutana na Demu akaniambia na Mchaga automatically stimu zinaisha, japo sio Wachaga wote ila wengi wao wanaotoka huko kwao Uchagani, na wenye pesa wengi wanaukabila.

At least wasukuma, mimi nimewai kwenda mpaka Usukumani na sijawahi kukutana na ukabila kwa Wasukuma... Unapewa mpaka mke bure Usukumani.
Mimi mwenyewe ni mchagga kisa sina pesa kuwa nao ni ishuu sema nini! Sijawahi kuwapenda hata wala hawanitishi.
 
Kuna pisi nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili.

Ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga.

Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila
Mpaka mnakutanizwa na kaka yake, kuna uwezekana amekuona kabisa wewe mwenyewe haujielewi. Usikute demu mwenyewe huwa unamvizia akiwa ametumwa, and yet uma mobilise mashabiki kibao waone kuwa wewe mdiye unakokota.
 
Kwenye makabila mengi niliyoyaona, Wachaga ni wabaguzi na wabinafsi sana. Makabila mengine hayana shida, kosa ukutane na ukoo wa Wachaga au Wapare.... Hao waache kabisa waoane wao kwa wao... Tena ukiwa na mali uchelewi kudedishwa chapu wachukue mali... Mchaga ni bora ukutane naye yule wa mjini ambae haendagi kwao Christmas, hawa wanaorudi kwao Christmas sio kabisa wa kuoa au kuolewa nao. 😂 Hayo ni maoni yangu binafsi
 
TENA UKIWEZA NENDA KATOE SADAKA YA SHUKRANI,
KUNA KITU KIKUBWA SANA UMEKIHEPUKA!
NDOA/MAHUSIANO NA WACHAGA NI MATESO SANA.
OGOPA NDOA NA MCHAGA AISEEE...
ACHA WAOANE WAO KWA WAO.
Jamaa anaona kapata dodo mimi hapa nilipo nishakosa imani na wachagga wenzangu.
 
Nyie ni matako huko kwenu hakuna wanawake
Wewe unachuk na wachaga coz walikuzalisha na kukunyang'anya mtoto
Pambanen na hali zenu kuna kitu hamkijui nyie kyasaka wachaga haturuhusiwi kuoa kabila lingine ila kuzaa nao sawa ila sio kuoa kwa hiyo usijidanganye ukizaa na mchaga atakuoa utasubir sanaaa anaenda kuoa kwao
Mbna kuna wachaga wameoa makabila mengine.
 
Hilo halitakiwi hata kukunyima usingizi,
Maoni ya watu kuhusu wewe, is none of ur business,
Cha msingi, mrembo anasemaje? Watu tumekosolewa, mpaka na, wazazi, lakini tumo tu, tulikomaaa, mpaka wakashangaa, tukafanya na ku accomplish vitu,ambavyo hawakutegemea tufanye,
It's life bro, people will always have their views on you! That should not concern our take you out of ur strategies
 
We nae kenge kweli. Tangu last year umebandua mara 2 tu? Acha uboya, ongeza kasi. Bro atakukubali ukionesha ufanisi
 
Back
Top Bottom