Soggy Doggy hujaoa tu Mana tangu enzi za kibanda Cha simu umri utakuwa umeenda Sana😂
Ilitakiwa iwe mara ngapiii??Since last year mmesex mara mbili tu?
Matumizi ya hovyo haya ya viungo vya uzazi!
Nimekuandikia tenaMbna sijaona huko bobo??![]()
🤣🤣Huko unapewa mke bure manake wao ni hopelessWachaga wanaukabila sana, hasa umkute demu wa kichaga ambae kwao pesa zipo alafu wewe bado hujayapatia maisha, aisee utaundiwa zogo ni hatari. Mimi kama Chief Lumanyika kutoka Bukoba, nikikikutana na Demu akaniambia na Mchaga automatically stimu zinaisha, japo sio Wachaga wote ila wengi wao wanaotoka huko kwao Uchagani, na wenye pesa wengi wanaukabila. At least wasukuma, mimi nimewai kwenda mpaka Usukumani na sijawahi kukutana na ukabila kwa Wasukuma... Unapewa mpaka mke bure Usukumani.
Tafuta dem wa huyo braza umchukue, usikae kinyonge.
Hataki muambukizane umasikini...Kuna pis nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga. Hii imenikata sana kumbe bado tunadate kimakabila![]()
NimeonaNimekuandikia tena
Kaka yake kakuona lofa
Huna maisha,apeche alolo
Utampa maisha gani dada yake zaidi ya du du unalojisifia nalo?
Waweza lipeleka bank ukapewa 20m ya kuanzishia biashara hilo gobole lako?nope




Ulige! Ulige! Iwee!!Wachaga wanaukabila sana, hasa umkute demu wa kichaga ambae kwao pesa zipo alafu wewe bado hujayapatia maisha, aisee utaundiwa zogo ni hatari.
Mimi kama Chief Lumanyika kutoka Bukoba, nikikikutana na Demu akaniambia na Mchaga automatically stimu zinaisha, japo sio Wachaga wote ila wengi wao wanaotoka huko kwao Uchagani, na wenye pesa wengi wanaukabila.
At least wasukuma, mimi nimewai kwenda mpaka Usukumani na sijawahi kukutana na ukabila kwa Wasukuma... Unapewa mpaka mke bure Usukumani.
Mwisho wa siku atembezewe visu ndo aridhike 😀Sasa Kaka ake anahusu nn ktk mapenzi yenu? Wee focus na mchumba ako.