Dhambi kwa nani? aliyekwisha kuoa mwanamke mwingine au ambaye bado hajaolewa?
Basi kama ni aliyeoa, basi tusimhukum huyu ambaye bado hajaolewa. Mimi hapo sioni tatizo yeye kumpenda huyo bwana mdogo. Tatizo pekee naloweza ona mgongano wq kimaslahi kati ya ndugu hawa. Vinginevyo hakuna dhambi akiamua kuolewa na mdogo mtu. Mbonq hapo kale walikuwa wanarithiana?
Halafu nakotogilwe nho.
que???????????!!!!!!!! saminor elrador kurmanho...
walikua wanarithiana ikiwa mmoja hayupo duniani tena na ilikua ni kwa ndoa ya kimila wanafanya,lakini sasa huyu mzima na bado girlfriend aletwe nyumbani si wataanza na misemo ya kileo mara "true love never die" kaka mtu atataka kuonja tena,mara kukumbushia enzi...pata picha wamekaa wote watatu meza moja wanakula mmmh...
Kwanza kutakua hamna uaminifu kati ya mtu na kaka yake
Pia sidhani kama atamuona ukute ni njia ya kumpata tu baada ya kuona hyu binti anatamani kuolewa(mawazo yangu)
Pia baada ya kuona kua rafiki ake kicheche na yeye ni walewale tu(pia mawazo yangu).
Very interesting....
Naomba niunganishie na mm kwa huyo frnd wko basi
Sasa huyu mzima kweli? japo yule kaka ake wamechangia baba tu. Hivi hata nikimkubali nitaonekana mjinga mimi au yeye?
Kaka mtu ni mmi kwahyo dogo akioa nami nakula taratiiibuuuuuuu