Kichenchede
mkuu kila mtu ni mroho na hakuna anayeweza kuacha uroho ila tunapunguza ila huyo binti angefanya favor kwa kunipatia mim hicho alichojaaliwa na maanan
Naona wachangiaji wsliowengi wamemshambulia mtoa mada as if yeye ndo wa kwanza kufanya hilo analotaka kufanya. Nani anaweza nionyesha dhambi ya mleta mada ktk vitabu vya MUNGU na hata hizo tamaduni tuzozitetea......!?
na baba wa jamaa pia atakuja kumtaka na kumuahidi ndoa...
Hivi humu ndani shingongo hayupo? Au hata jamaa zake?
Kuna vipaji vingi sana ambavyo anaweza kuvitumia,Japo Hiki itabidi akipige msasa kidogo Maana maudhui ya stori yake yamekinzana,mara sterling amuite hana akili,mara aseme sterling anavutia!!!!
Namshauri Mkandara asome kwanza article ya Assad halafu ndio aijibu. Maelezo aliyoyatoa ni yale yale ya kule bcs na hayajazingatia maelezo aliyoyatoa Assad ambayo kwa kiasi kikubwa yalitoa mwanga wa kitaalamu katika hili jambo. Assad alianza kwa kueleza maana ya degree fake ambayo Mkandara hajazingatia katika maelezo yake.
Wewe binti hujielewi....samahani kwa hlo kama nimekukwaza.Huyu mwanaume amewaona ww na rafiki yako hamnazo na anapanga kukuvuruga.Una shida sana ya ndoa???
Halafu binti anayejitambua ningumu sana kufanya habar za kuunganishiana mabwana likewise kwa mwanaume anayejielewa ni ngumu kukubali kukuwadiwa mwanamke.
Umekosa ni vicheche!teh
kama waligegedana na wakwanza ni dhambi hawakuoana!umeona sasa?
Taratibu mama.acha ujinga binti
Taratibu mama.
ndio aache ujinga banah narudia tena aache ujinga atamvuliaje chup shemejiye....yaani shimo kapita mdogoye hilohilo anataka mpa na kakaye huo ni ungese nakujidhalilisha kabisa