Kaka wa boyfriend wangu ananitaka

Kaka wa boyfriend wangu ananitaka

we nawe wanaume wote hawa mpaka ukalale na mtu na nduguye no mater what??piga chin huyo anakuenjoy aone ulivyo maharage ya mbeya
 
Nilikua na boyfriend wangu tukaachana akaja kuoa, sasa alikua na mdogo wake, akawa anamtaka rafiki yangu akanambia nimuunganishie ndipo tukapeana namba za simu na kweli akafanikiwa kumpata sababu na yule rafiki yangu alikua kicheche wakashndwana na kuachana.


Sasa karudi kwangu ananitaka mie, eti ananambia nilishndwa kukutongoza kipindi kile sababu ulikua na kaka yangu, na anasema ananipenda kiukweli na anataka kuja kwetu kutoa mahari ili anioe kama nikikubali?

Sasa huyu mzima kweli? japo yule kaka ake wamechangia baba tu.

Hivi hata nikimkubali nitaonekana mjinga mimi au yeye? mana kiukweli mimi mwenyewe ananivutia na nilimpenda kimoyo moyo toka mwanzo tulivyoonana nikatamani nigeanza kuonana nae yeye kwanza, na ana kila sifa ninayoitaka kwa mwanaume.

Embu mnishauri mwenzenu.... nifanyeje

death and funeral announcement!!,
 
Back
Top Bottom