Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

unataka kuniona? we afu si kuna kipindi ulikuwa unatoka na kiwa? mke wake akakubutua?

anibutue wapiii?shanisarie hajiogopii? mie niliamua tu kumwachia
 
karucee we acha tu bibie shansarie alikua mpole na mnyenyekevu kwangu thou nlikua namchukulia libwana lake kiwatengu,,mie nkajilia vyangu nikaneemeka then nkasepa mbelee shostii:redface:

Aisee una roho ngumu.

Mi nawakonyezaga tu but siwezi kufika kuwala.

Guilt will kill me!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom