Kaka afumaniwa na dada ake

Kaka afumaniwa na dada ake

uyu emasry boya kweli na kama wamelelewa kiislamu je...kojoa ukalale mchana unakaribia

Hamna malezi ya kiislam hapo ww,Uislam kwanza haufundishi hivyo,hawo watakua waliwaona wale makasisi wa vatican wakilawiti watoto
 
Watoto wa siku hizi Mitandao na TV zinawaponza
 
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.

Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.

Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.

Dunia imekwisha, kaka na dada?

Sijui binadamu tunaelekea wapi?

Ina maana Wadada Tz wameisha hadi hawa madogo walane wenyewe kwa wenyewe !!! Eti, Mdogo wangu charminglady nifafanulie kulikoni hadi wafike hapo.
 
Last edited by a moderator:
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.

Kweli wasingefanya hivyo, lakini wangekuwa wanarukwa ukuta. Malezi yenu yanachochea hiyo kitu.
 
Dare to talk openly,wamefumaniwa wanafanya nini?Wanakomba mboga,wanakwiba pesa,wanauza tv etc?Kwanini mnawapiga!

Yote uliyoyataja hayahusishi "kufumaniwa".

Kiswahili ni lugha yako ya ngapi?
 
Huyo dadake alimfumania kakake akila uroda na mumewe?

Kama dada na kaka walikuwa wanakulana, hapo hakuna kufumaniwa hapo kuna kufumwa na si kufumaniwa.

Anaefumania ni mke au mume tu.
 
peleka usenge uko topic iko mbali na udini unaanza uchochez au ---- weww
 
ni uchochezi mkuu kuna waislam wenye maadili mabaya na mazur na wakristo hivo hivo....just dt put the religion staffs kwa thread kama hii
 
Uislam haufundishi hivyo wala usiusingizie.[/QUOTE
So unataka kumaanisha waislamu wanaopotoka na kufanya ulawiti, sio waislam? Kufundishwa na kuelewa ni vitu viwili tofauti. Hata ukristo haufundishi hivo FYI
 
Back
Top Bottom