Haya majumba yenu mnayoweka uzio na kuwazuia watoto wasihusiane na majirani, muda wote magetini mwao, mnategemea wanapofikia kwenye muwashawasha wa ngono watakidhi wapi haja hizo? Ushaisikia hii Uswahilini kwetu kwenye KOMBORERA? Hii iko Kwa vigogo bwana. Siye full vigodoro, Komborera, tuwindane kaka na dada ili iweje? Hata kwenye kununua nusu na robo njiani usiku uchochoroni tunamaliza yetu bana. Bafu langu na la jirani vinaangaliana, tunaoga muda sawa na tunamaliza yetu...badilisheni malezi ya watoto.