Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

Wewe una umri gani kwa sasa? Km ni below 18 muulize km ni above 18 kausha... ukitaka kumuuliza na upo above 18+ kwanza chonga mgomba wako uwe wako peke yako kisha anza kumuuliza kinyume na kausha fanya km hujaona.. halafu mboni huyo mtu hujaweka namba yake hapa au account yake ulitumiwa hio picha ili tuhakikishe kwamba hii sio Chai ya Maziwa?
🤣🤣🤣 niweke picha hapa muisambaze huko dada wa watu aaibike

Nimewaza sana kuhusu kumuuliza lakini nasita maana nimehisi kama kuna kitu kinaendelea kwasababu from nowhere mtu ananifollow kanijuaje
 
🤣🤣🤣 niweke picha hapa muisambaze huko dada wa watu aaibike

Nimewaza sana kuhusu kumuuliza lakini nasita maana nimehisi kama kuna kitu kinaendelea kwasababu from nowhere mtu ananifollow kanijuaje
PM ipo wazi...
 
Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini

Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa marafiki zake nikaona na account ya huyo niseme mwanaume wetu

Basi nikampotezea sasa nashangaa ana like picha zangu zote kwenye account yangu nikasema labda ni kawaida

Sijakaa Sawa kapost picha yuko na mwanaume nilienae kwenye mahusiano ila kaweka share with only close friends kwaiyo kanitagg mimi tu huko mtandaoni.

Ikabidi niangalie post za mwanaume labda nitamjua ni nani maana account aliyonifollow haina picha.. uzuri nikakutana na jina kama lile kwenye comments section,
Ikabidi niikague ile account nikakuta ni kweli ni huyo mdada maana kuna picha zake
Na hiyo picha aliyopost inaonekana ilipigwa mwaka Jana July maana dada alijipost peke yake akiwa amevaa hiyo nguo na location hiyohiyo…

Mimi nili view tu sikumuuliza chochote wala mwanaume sijamuuliza kitu mpaka Leo siku ya 4

Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu
Weka picha tuone
 
Ndumu tu ndio unaona maajabu ya kutumiwa picha mwenzio kakutumia kala ndumu...
Hebu nipeni majibu ya kueleweka moyo unafukuta hapa sijui nifanye kitu gani kama nimtumie hiyo picha halafu nimwambie tuachane 😌
 
Nipe kwanza ushaurii moyo unaniuma
Mi huwa sina huo muda wa kuwaza mtu kiukweli, ningeblock wote wawili nikatembea.. or else unamtaka sana huyo bwna.. sina ushauri mzuri kwnye mapenz shorii ni violence tu kwenda mbele😅😅
 
Back
Top Bottom