- Thread starter
- #41
InaumagaTuliza wenge...
InaumagaTuliza wenge...
Haya na wewe lipiza piga picha na rafiki yake jipost mtag... hapo inakua 1-1Inaumaga
🤣🤣🤣🤣 we kweli huna muda.. mimi simu yangu sijawahi kublock mtu huwa nafuta namba na wakati mwinginee sifuti nakuacha unishangae statusMi huwa sina huo muda wa kuwaza mtu kiukweli, ningeblock wote wawili nikatembea.. or else unamtaka sana huyo bwna.. sina ushauri mzuri kwnye mapenz shorii ni violence tu kwenda mbele😅😅
Mimi nina picha na huyo mwanaume nilitaka nifanye hivyo nikaona kama utoto nikapotezeaHaya na wewe lipiza piga picha na rafiki yake jipost mtag... hapo inakua 1-1
Wewe si umesema hujui anamaanisha nini? Maana yake anakuambia amekuibia na huna cha kumfanya.Ukimaanisha
Amekutomba mara ngapi huyo mwanaume mnaeshea na huyo shangazi?Mimi nina picha na huyo mwanaume nilitaka nifanye hivyo nikaona kama utoto nikapotezea
Inavyoonekana ni kama hawa watu waliachana au wapo pamoja yaani mie ndio nimemkuta ila sasa ndio ananilingishia sasa kama anajiamini ni wake si angeshare kwa wote kwanini anitagg mimi tu matako yakeWewe si umesema hujui anamaanisha nini? Maana yake anakuambia amekuibia na huna cha kumfanya.
Kheee hayo maswali tena yanahusiana nini kwaiyo unataka nitaje ili iwe nini jamaniAmekutomba mara ngapi huyo mwanaume mnaeshea na huyo shangazi?
Basi subiri kuendelea kushangazwa huko insta utakaa mkao tu! Itakuwa hujapitishwa rough road milima na mabonde kwenye mahusiano bado, soon utakomaa utaona kawaida tu, unaachwa dk 5 nyingi unasonga na maisha hahah🤣🤣🤣🤣 we kweli huna muda.. mimi simu yangu sijawahi kublock mtu huwa nafuta namba na wakati mwinginee sifuti nakuacha unishangae status
Huko nishapita ila nahisi sikomi kila siku napenda tena 😂Basi subiri kuendelea kushangazwa huko insta utakaa mkao tu! Itakuwa hujapitishwa rough road milima na mabonde kwenye mahusiano bado, soon utakomaa utaona kawaida tu, unaachwa dk 5 nyingi unasonga na maisha hahah
Kwani hajawahi?Kheee hayo maswali tena yanahusiana nini kwaiyo unataka nitaje ili iwe nini jamani
Kuna haja gani ya kujua mtu kalala mara ngapii na mwanaumeKwani hajawahi?
Bado wewe.. mpka ukutane na wajela jela kwanza lol.. city boys wakunyooshe, ukitapeliwa na hawa huwezi kuja kuanzisha nyuzi za namna hii am sure u will never ever dare 😆 i bet u are not even 25 yet!Huko nishapita ila nahisi sikomi kila siku napenda tena 😂
Wajelajela ni watu gani🤣 anyway ukifuatilia nyuzi zangu zitakuambia namna wakaka wa Tanzania wanavyonivunja moyo na mifupaBado wewe.. mpka ukutane na wajela jela kwanza lol.. city boys wakunyooshe, ukitapeliwa na hawa huwezi kuja kuanzisha nyuzi za namna hii am sure u will never ever dare 😆 i bet u are not even 25 yet!
Kwa hio hujui idadi ya mabao aliyokupiga mpaka leo?Kuna haja gani ya kujua mtu kalala mara ngapii na mwanaume
Hayo maswali ulizaneni wanaume sie hatuongeagi huo upuuzi
Hehehe pole mamake, Tuanze kutafuta nje ya Tz au unasemaje mamtu?Wajelajela ni watu gani🤣 anyway ukifuatilia nyuzi zangu zitakuambia namna wakaka wa Tanzania wanavyonivunja moyo na mifupa
Wanapatikanaje hao niwatafute ila si wanapenda weusi mie mweupe peeHehehe pole mamake, Tuanze kutafuta nje ya Tz au unasemaje mamtu?
Jamani we kaka umemkomalia mwenzio ataje idadi kwann lakini😂 baada ata umpooze ndo kwanza umekazania idadi nyoh!Kwa hio hujui idadi ya mabao aliyokupiga mpaka leo?
instagram kuna nafuu, tiktok mtu anapost video au picha wakiwa kwenye gari na anakuambia kabisa ndio anamsindikiza mumeo safari ya kikazi ambayo asingeweza kukubeba weweBasi subiri kuendelea kushangazwa huko insta utakaa mkao tu! Itakuwa hujapitishwa rough road milima na mabonde kwenye mahusiano bado, soon utakomaa utaona kawaida tu, unaachwa dk 5 nyingi unasonga na maisha hahah