Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

Na mko mbali na kila mmoja?

Na wewe huwa humtafuti si ndio?
Yuko Kibaha niko Dar

Mimi simtafuti anatabia unaweza kumtumia sms au kupiga simu akaiona aka mute sasa na mimi nikimtafuta mtu asi respond huwa najisikia vibaya
Nilifanya kama mara3 hivi nikaona nisijichoshe tangu hapo ni mpk anitafute yeye
 
Aaaah aiseeee unamchoka mpenzi wako kama kazi anazofanya anakuwa busy sana akija kuona text anakuta ashachelewa yaaani imepita masaa manne je ajibu?

Ila unafikiri na yeye akiacha kukucheki itakuwaje komaa nae huyo huyo
 
Unafikiri ni rahisi hivyo mkuu
 
Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini

Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa marafiki zake nikaona na account ya huyo niseme mwanaume wetu

Basi nikampotezea sasa nashangaa ana like picha zangu zote kwenye account yangu nikasema labda ni kawaida

Sijakaa Sawa kapost picha yuko na mwanaume nilienae kwenye mahusiano ila kaweka share with only close friends kwaiyo kanitagg mimi tu huko mtandaoni.

Ikabidi niangalie post za mwanaume labda nitamjua ni nani maana account aliyonifollow haina picha.. uzuri nikakutana na jina kama lile kwenye comments section,
Ikabidi niikague ile account nikakuta ni kweli ni huyo mdada maana kuna picha zake
Na hiyo picha aliyopost inaonekana ilipigwa mwaka Jana July maana dada alijipost peke yake akiwa amevaa hiyo nguo na location hiyohiyo…

Mimi nili view tu sikumuuliza chochote wala mwanaume sijamuuliza kitu mpaka Leo siku ya 4

Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu
sasa ndugu yangu ushamuona mnyama ana mkia na analia nyau na unauliza kama huyo ni paka?
 
Back
Top Bottom