Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
3,144
Reaction score
5,074
Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini

Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa marafiki zake nikaona na account ya huyo niseme mwanaume wetu

Basi nikampotezea sasa nashangaa ana like picha zangu zote kwenye account yangu nikasema labda ni kawaida

Sijakaa Sawa kapost picha yuko na mwanaume nilienae kwenye mahusiano ila kaweka share with only close friends kwaiyo kanitagg mimi tu huko mtandaoni.

Ikabidi niangalie post za mwanaume labda nitamjua ni nani maana account aliyonifollow haina picha.. uzuri nikakutana na jina kama lile kwenye comments section,
Ikabidi niikague ile account nikakuta ni kweli ni huyo mdada maana kuna picha zake
Na hiyo picha aliyopost inaonekana ilipigwa mwaka Jana July maana dada alijipost peke yake akiwa amevaa hiyo nguo na location hiyohiyo…

Mimi nili view tu sikumuuliza chochote wala mwanaume sijamuuliza kitu mpaka Leo siku ya 4

Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu
 
Kama mpaka hapo hujajua lengo la kupostiwa hiyo picha,basi huyo mwanaume alikua na haki ya kutafuta Mwanamke mwingine,

Inaonekana kua akili yako ya uelewa imelala usingizi,

Kifupi huna chako hapo,na hizo picha ulikua unapewa tu taarifa,na inawezekana kabisa kua huyo Mwanaume wako ndiye aliyemtuma huyo Mwanamke apost picha akiwa nae ili wewe uone,

Hiyo ni indirect msg kua huna chako hapo,umepigwa chini,labda utumiwe kama kipozeo tu.
 
Ulishindwa kuzitambua hizi red flag tangu mapema,ndio maana ametumia another option kukuonyesha kua hakutaki.

Huyo mwanamke inavyoonekana ni kwamba mimi nimemkuta maana mimi na huyo kijana hatuna mda mrefu sana

Alinambia tu kuna mwanamke waliachana sikutaka kujua sana ila mimi nimeanza nae mahusiano mwaka huu
 
IMG_7115.jpeg
 
Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini

Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa marafiki zake nikaona na account ya huyo niseme mwanaume wetu

Basi nikampotezea sasa nashangaa ana like picha zangu zote kwenye account yangu nikasema labda ni kawaida

Sijakaa Sawa kapost picha yuko na mwanaume nilienae kwenye mahusiano ila kaweka share with only close friends kwaiyo kanitagg mimi tu huko mtandaoni.

Ikabidi niangalie post za mwanaume labda nitamjua ni nani maana account aliyonifollow haina picha.. uzuri nikakutana na jina kama lile kwenye comments section,
Ikabidi niikague ile account nikakuta ni kweli ni huyo mdada maana kuna picha zake
Na hiyo picha aliyopost inaonekana ilipigwa mwaka Jana July maana dada alijipost peke yake akiwa amevaa hiyo nguo na location hiyohiyo…

Mimi nili view tu sikumuuliza chochote wala mwanaume sijamuuliza kitu mpaka Leo siku ya 4

Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu
Inaonekana imekuuma sana pole. Jibu muulize kwa sababu unataka kujua
 
Ulishindwa kuzitambua hizi red flag tangu mapema,ndio maana ametumia another option kukuonyesha kua hakutaki.

Hizo red flag mbona mimi nilishazibadilisha zikawa green kiufupi yote aliyokuwa ananifanyia mwanzo nilimlpia na sasa yeye ndio anahangaika na mimi au hapo una maanisha nini
 
Mwizi ni mwizi tu, haijalishi ni mwizi wa magari, ng'ombe, kuku au mdokozi wa nyama jikoni kama Shoko wa mitaara ya NECTA ya msingini. Kwahiyo usishangae sana MTU kumuiba MTU wa MTU, kwa sababu chamtu ni utu, chamtu huliwa na mtu.
 
Sasa najiuliza ana nia gani haswa au lengo lake ni nini??
Je nimuulize au niachane nae tu
Wewe una umri gani kwa sasa? Km ni below 18 muulize km ni above 18 kausha... ukitaka kumuuliza na upo above 18+ kwanza chonga mgomba wako uwe wako peke yako kisha anza kumuuliza kinyume na kausha fanya km hujaona.. halafu mboni huyo mtu hujaweka namba yake hapa au account yake ulitumiwa hio picha ili tuhakikishe kwamba hii sio Chai ya Maziwa?
 
Back
Top Bottom